PostGE2025 Lissu: Kwenye kusambaza NO REFORMS NO ELECTION Hatukuzungumza na CCM, kwa sababu hao ni CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
"Tukasema Ngoja tuongee na Makundi mbalimbali ya Wa Tanzania, Taasisi za dini , Asasi za kiraia, jumuiya mbalimbali na tukaanza na Shura ya Maimam, Hatukuonana na BAKWATA kwa vile tunajua hao ni CCM

Baadaye tukaonana na TEC, CCT, Taasisi za kiraia, chama cha wanasheria, viongozi Wastaafu akiwemo Warioba"

HII NI KAULI YA LISSU MAHAKAMANI alipokuwa anafafanua juhudi za Chama chake kusambaza NO REFORMS NO ELECTION, wakati akijitetea kwenye kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili

IMG-20250210-WA0022.jpg
 
"Tukasema Ngoja tuongee na Makundi mbalimbali ya Wa Tanzania, Taasisi za dini na tukaanza na Shura ya Maimam, Hatukuonana na BAKWATA kwa vile tunajua hao ni CCM

Baadaye tukaonana na TEC, CCT, Taasisi za kiraia, chama cha wanasheria, viongozi Wastaafu akiwemo Warioba"

HII NI KAULI YA LISSU MAHAKAMANI alipokuwa anafafanua juhudi za Chama chake kusambaza NO REFORMS NO ELECTION, wakati akijitetea kwenye kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili
Wapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
 
Kmmae mboga moto ugali moto,maji ya kunawa moto maji ya kunywa moto.

Chagua moja kula hivyo hivyo au njaa ikuue.

Huyu Msingidani mwana Ilboru ataniulia bibi kidude toka Zenji.
 
Ama kweli acha minyumbu iitwe minyumbu.
 
Back
Top Bottom