Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Nguruwe elekea kibra ***** weweAma kweli acha minyumbu iitwe minyumbu.
Nguruwe elekea kibra ***** weweAma kweli acha minyumbu iitwe minyumbu.
How? BAKWATA ni tawi la Waislamu chini ya CCM.Wapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
Ok, kama ndivyo mnavyofumdishwa na lissuHow? BAKWATA ni tawi la Waislamu chini ya CCM.
Wewe kwa akili yako unaona BAKWATA ni ya Waislamu hawa tulio nao mtaani?Ok, kama ndivyo mnavyofumdishwa na lissu
Ndiyo, wapo wengi tu.Wewe kwa akili yako unaona BAKWATA ni ya Waislamu hawa tulio nao mtaani?
na KKKT je ?
Kunywa sumu sasaWapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
Ninywe sumu halafu Raha hii ya kumuona Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akilifikisha taifa hili katika nchi ya ahadi kufikia 2030 nimuachie nani?!!! Raha hii ya kuliona adui la taifa likiozea jela nimuachie nani?!!!Kunywa sumu sasa
Huna akiliNinywe sumu halafu Raha hii ya kumuona Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akilifikisha taifa hili katika nchi ya ahadi kufikia 2030 nimuachie nani?!!! Raha hii ya kuliona adui la taifa likiozea jela nimuachie nani?!!!
We ndo hata sehemu tu ya kuhifadhia akili zenyewe huna.Huna akili
Kwani shida iko wapi? Kasema BAKWATA sio wa IslamWapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
KKKT ni jumuia ya wapi, Tanzania haina jumuia hiyo, elimu ni muhimu sana kwenye maisha.na KKKT je ?
Subiri tu, utaendelea kuliona☺️☺️Kwani shida iko wapi? Kasema BAKWATA sio wa Islam
BAKWATA hata mahakama ilisema, sio mwakilishi wa WaislamSubiri tu, utaendelea kuliona☺️☺️
Taifa hili ukishakuwa tu na chuki na upande wowote wa dini, hata kwa kujificha vipi, hamtofanikiwa kamwe.