PostGE2025 Lissu: Kwenye kusambaza NO REFORMS NO ELECTION Hatukuzungumza na CCM, kwa sababu hao ni CCM

PostGE2025 Lissu: Kwenye kusambaza NO REFORMS NO ELECTION Hatukuzungumza na CCM, kwa sababu hao ni CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii kesi kwani nin wasiirushe live wananchi wajifunze na kuvutiwa kusoma sheria, kuogopa kuwa mashahidi wa mchongo, mawakili wa mchongo, majaji wa mchongo na kujifunza kusimamia haki bila kujali wanapitia nini.
 
Tunaandika kitabu kila kitu utakiona
 
Mimi nimesimamia kujishughulisha na kuingalia familia yangu had watoto wasome na nitawasidia kuishi maisha bora sababu najua hata like chama gani kushika nchi hakuna mabadiliko yoyote yatakayoiwezesha Tanzania kuwa kama Ulaya
Tumeona Kenya pamoja na katiba mpya bado ni masikini vilevile
Kwahiyo hata awe Chadema au ccm, maisha ya umasikni yatakuwa pale pale
na bila ya kujituma binafsi na sioni sababu Kwanini usijitume sasa badala ya ukisubiria Chadema na katiba mpya?
Ungekuwa ni mkweli juu ya haya uliyosema hapa ningekwambia kuwa wewe si mjinga; bali ni mpumbavu.

Lakini najuwa haya uliyoandika hapa siyo msukumo wa kundi lenu llinalotuingiza kwenye matatizo makubwa.
Hata hao watoto unaozungumzia, usitegemee kuwa huko mnakotupeleka watakuwa na nafuu yoyote.

Ulaghai imekuwa ndiyo utamaduni mnaoueneza ndani ya taifa hili; na mnajitahidi sana waTanzania wazoee tabia hii mbovu kabisa mnayoieneza hapa.
 
Aliyeanzisha Bakwata ni Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani hawa nao wana Udini?
Lakini Mwalimu Nyerere hakujuwa kuwa BAKWATA ndiyo itakayokuja kuiumiza Tanzania kiasi hiki

Laiti angejuwa asingethubutu kuianzisha na kuiweka ndani ya chama.

BAKWATA wameigeuza wahuni, akina Kikwete na kuifanya ndiyo iwe mbadala wa CCM!
 
"Tukasema Ngoja tuongee na Makundi mbalimbali ya Wa Tanzania, Taasisi za dini , Asasi za kiraia, jumuiya mbalimbali na tukaanza na Shura ya Maimam, Hatukuonana na BAKWATA kwa vile tunajua hao ni CCM
Kichwa cha mada hii kimegeuzwa na nani, ili kupoteza maan halisia iliyolengwa?
 
Wapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
Hatakama unamchukia ccm mzima hakuna wa kushindana nae kwa hoja. Hizi ni kauli za kiccm za kijinga kabisa.
FB_IMG_1732381054839.jpg
20250818_101647.jpg
20250126_124953.jpg
Screenshot_20250410_180617_X.jpg
Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg
huu ndio ujinga wa kiccm wauaji wakubwa.
 
Hii kesi kwani nin wasiirushe live wananchi wajifunze na kuvutiwa kusoma sheria, kuogopa kuwa mashahidi wa mchongo, mawakili wa mchongo, majaji wa mchongo na kujifunza kusimamia haki bila kujali wanapitia nini.
Hatari na nusu
 
Back
Top Bottom