Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!"Tukasema Ngoja tuongee na Makundi mbalimbali ya Wa Tanzania, Taasisi za dini na tukaanza na Shura ya Maimam, Hatukuonana na BAKWATA kwa vile tunajua hao ni CCM
Baadaye tukaonana na TEC, CCT, Taasisi za kiraia, chama cha wanasheria, viongozi Wastaafu akiwemo Warioba"
HII NI KAULI YA LISSU MAHAKAMANI alipokuwa anafafanua juhudi za Chama chake kusambaza NO REFORMS NO ELECTION, wakati akijitetea kwenye kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili
Usilie mambo badoWapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
Kwani nao ni ccm?na KKKT je ?
Ulitaka aseme ukweli upi au kama wewe unaujua twambie pls pls plsWapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
WatajutaNOLE ndo pekee imesalia kuiokoa serikali haramu.
Wanasheherekea kumtesa Lisu bila kujua wanaandaa matanga yao wenyewe
Sasa mkuu hapo ndio kwanza alikuwa hoja zake tu akianza kubomoa ushahidi wa mashahidi kumi na saba wa selekali si utapata wazimu weweWapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
CCT ndio wenyewena KKKT je ?
Of course, mambo Bado saaaaana. Pole, mi sio wa kulia.....ni wewe ndo wa kuliaUsilie mambo bado
Ama kweli acha minyumbu iitwe minyumbu.Kmmae mboga moto ugali moto,maji ya kunawa moto maji ya kunywa moto.
Chagua moja kula hivyo hivyo au njaa ikuue.
Huyu Msingidani mwana Ilboru ataniulia bibi kidude toka Zenji.