PostGE2025 Lissu: Kwenye kusambaza NO REFORMS NO ELECTION Hatukuzungumza na CCM, kwa sababu hao ni CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Toka ile siku nione Lissu anamtembezea spana hadi Mbowe nilinyosha mikono.

Linapofika jambo la kutembeza spana Lissu haangalii usoni.
 
Kunywa sumu sasa
Ninywe sumu halafu Raha hii ya kumuona Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akilifikisha taifa hili katika nchi ya ahadi kufikia 2030 nimuachie nani?!!! Raha hii ya kuliona adui la taifa likiozea jela nimuachie nani?!!!
 
Huna akili
 
Lissu go baba, go papa.
🔥🔥🔥 mwagaaa mwagaaa.
 
Jamaa anatua huruma sana ,anajichekea tu ..Wamtoe arudi zake ubelgiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…