PostGE2025 Lissu: Kwenye kusambaza NO REFORMS NO ELECTION Hatukuzungumza na CCM, kwa sababu hao ni CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
KKKT ni jumuia ya wapi, Tanzania haina jumuia hiyo, elimu ni muhimu sana kwenye maisha.
Elimu ni muhimu na Nina uhakika nimekuzidi
Ila elimu ya kujua KKKT ni jumuiya au kanisa haina umuhimu wowote kwa maisha ya mtanzania
 
Leo nataka nikuulize swali ambalo limenitatiza sana kwa muda mrefu; lakini hatimaye leo nadhani nimepata jibu lake sahihi.

Wewe unajuwa "mfumo" ni nini?

Nikijaaliwa nitaweka mada juu ya wazo hili lililoniingia akilini kwa nguvu leo.
 
na KKKT je ?
Muda wa unafiki inabidi waTanzania waachane nao sasa. Hii tabia ya kuogopa kusema maneno waziwazi huku yakiumiza taifa ni tabia ya kipumbavu sana.
Hapo ulipo wewe, jiulize unasimamia kitu gani ndani ya taifa hili.

Hata woote tukiingia huko ulipo wewe, bado hutatosheka, utataka tuwe kama wewe; jambo ambalo haliwezekani.
 
BAKWATA haikuanzishwa na waislam, bali ilianzishwa na TANU, sawa na ilivyoanzishwa TANU YOUTH LEAGUE (UVCC) au UWT. Ndiyo maana huwezi kumwona muislam mwenye akili timamu, mshika dini, akijihusisha na BAKWATA.
 
BAKWATA haikuanzishwa na waislam, bali ilianzishwa na TANU, sawa na ilivyoanzishwa TANU YOUTH LEAGUE (UVCC) au UWT. Ndiyo maana huwezi kumwona muislam mwenye akili timamu, mshika dini, akijihusisha na BAKWATA.
Waanzilishi wakuu ni Julius Nyerere na Paulo Bomani
 
Mimi nimesimamia kujishughulisha na kuingalia familia yangu had watoto wasome na nitawasidia kuishi maisha bora sababu najua hata like chama gani kushika nchi hakuna mabadiliko yoyote yatakayoiwezesha Tanzania kuwa kama Ulaya
Tumeona Kenya pamoja na katiba mpya bado ni masikini vilevile
Kwahiyo hata awe Chadema au ccm, maisha ya umasikni yatakuwa pale pale
na bila ya kujituma binafsi na sioni sababu Kwanini usijitume sasa badala ya ukisubiria Chadema na katiba mpya?
 
Udini
 
Umepungukiwa na kitu kimoja "Umekata tamaa"
 
utetezi huu mzito mno utamsaidia sana kwenye kushinda kesi inayomkabili.

kumbe ndio maana viongozi wa kamati kuu ya chadema taifa wote ni wakristo ila bakwata ni CCM
 
Ninywe sumu halafu Raha hii ya kumuona Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akilifikisha taifa hili katika nchi ya ahadi kufikia 2030 nimuachie nani?!!! Raha hii ya kuliona adui la taifa likiozea jela nimuachie nani?!!!
Wapigwa miti tulieni mamayenu apigwe dawa
 
Wapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
Yaani ungesema Lisu anaongea kitu cha maana, ingebidi nimpuuze sana Lisu. Safari hii kwa Lisu mmekutana nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…