Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 461
- 934
Huna akiliBwahabwahabwahabwahaaaa!
Labda vizazi vya erythrocyte🤣🤣🤣
Tunaandika kitabu kila kitu utakionaHii kesi kwani nin wasiirushe live wananchi wajifunze na kuvutiwa kusoma sheria, kuogopa kuwa mashahidi wa mchongo, mawakili wa mchongo, majaji wa mchongo na kujifunza kusimamia haki bila kujali wanapitia nini.
😆😆😆😆 Hata Mimi nawaamkiaMODI SHIKAMOOOOOONI☺️
Mdini ni tundwiAliyeanzisha Bakwata ni Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani hawa nao wana Udini?
🤣🤣Huna akili
Ungekuwa ni mkweli juu ya haya uliyosema hapa ningekwambia kuwa wewe si mjinga; bali ni mpumbavu.Mimi nimesimamia kujishughulisha na kuingalia familia yangu had watoto wasome na nitawasidia kuishi maisha bora sababu najua hata like chama gani kushika nchi hakuna mabadiliko yoyote yatakayoiwezesha Tanzania kuwa kama Ulaya
Tumeona Kenya pamoja na katiba mpya bado ni masikini vilevile
Kwahiyo hata awe Chadema au ccm, maisha ya umasikni yatakuwa pale pale
na bila ya kujituma binafsi na sioni sababu Kwanini usijitume sasa badala ya ukisubiria Chadema na katiba mpya?
Lakini Mwalimu Nyerere hakujuwa kuwa BAKWATA ndiyo itakayokuja kuiumiza Tanzania kiasi hikiAliyeanzisha Bakwata ni Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani hawa nao wana Udini?
Kichwa cha mada hii kimegeuzwa na nani, ili kupoteza maan halisia iliyolengwa?"Tukasema Ngoja tuongee na Makundi mbalimbali ya Wa Tanzania, Taasisi za dini , Asasi za kiraia, jumuiya mbalimbali na tukaanza na Shura ya Maimam, Hatukuonana na BAKWATA kwa vile tunajua hao ni CCM
Hatakama unamchukia ccm mzima hakuna wa kushindana nae kwa hoja. Hizi ni kauli za kiccm za kijinga kabisa.Wapumbavu wenzie wanafurahia kauli zake za kilofa...kumbe lienyekiti hili ni lijinga kiasi hiki ee?!!!
CCM hao chini ya malasusaKwani nao ni ccm?
Hatari na nusuHii kesi kwani nin wasiirushe live wananchi wajifunze na kuvutiwa kusoma sheria, kuogopa kuwa mashahidi wa mchongo, mawakili wa mchongo, majaji wa mchongo na kujifunza kusimamia haki bila kujali wanapitia nini.