Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Huyu mpumbavu Tundu Lissu ataacha upuuzi lini?
Ujue ukizungumza na kichaa na wewe utaitwa kichaa...Bora Magufuli amnyamazie kwa sababu wananchi tunaelewa A to Z..sanduku la kura ndilo jibu sahihi kwa huyu dogo...ataipata habar yake asubiri aone watanzania watakavyofanya...hataamini macho na masikio yake
 
Kweli?
 
Ili alaaniwe kwa mauaji, udhalilishaji, utekaji, kifilisi Wafanyabiashara, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Kijijini kwake, kuteka watu, na mambo maovu mengine mengi.
Laana itaanza kwako mmeo na watoto wako
 
Ili alaaniwe kwa mauaji, udhalilishaji, utekaji, kifilisi Wafanyabiashara, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Kijijini kwake, kuteka watu, na mambo maovu mengine mengi.
Duh.. waliojipa kazi ya kutetea mtu huyu Wana shughuli pevu
 
Lissu anatufaa sana.
 
Watanzania wa wapi unawasemea wewe? Hakuna Mtanzania anayejielewa yupo CCM j
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…