MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
Amewajaza ujinga hawa wenye utapiamlo wa akili.we endelea kukopeshwa na TIGO ila tunacho jua huyo mgombea wenu meko ni mwongo kile kipande huwezi pewa mkopo benki hataufanyeje,labda mukopeshane kwenye saccos yenu ya hapo lumumba
Jamaa halinaga akili hilo lina hoja za kipuuzi na kifala sana [emoji23][emoji23] unaweza kucheka majitu kama hayo ndo matetezi ya Meko ni aibu sana...Hehehe...ona ulivyozidi kuwa mjinga unaelekea kwenye upumbavu...
Boss wako kazungumzia kitambulisho cha mjasiriamali. Wewe unasema habari za kitambulisho cha NIDA. una akili kweli?
Shetani anatajwa mara zote ibadani kwa kuwa ni muovuHuyu jamaa naye jinga tu,asipomtaja Magu hasinzii?
Hahaha...acha ujinga, kile kitambulisho cha kijinga cha boss wako hakidhamini mtu benki.Wala huhitaji kwenda benki fungua upesi moblie banking au sim banking anza kuweka hizo pesa zako za kimachinga halafu utakopa bila shida au anza kukopa airtelmoney,tigo pesa ,mpesa nk muulize hata jirani yako wanakopaje
Hapa inazungumziwa benki ndugu sijui kama umeelewa.Kuna mikopo ya vikundi ya Wajasiriamali kwa akina Mama na Vijana kutoka Serikalin
Nimewah kutaka kuwa Mnufaika
Hahaha...tumekukamata pabaya leo...hoja hapa ni kitambulisho cha boss wako kutumika kuombea mkopo benki Kama boss wako alivyowadanganyeni...hizo habari za sim bank ni swala lingine!.mobile banking wanakopesa
Tigo pesa nk ni sehemu ya mobile banking kama hujui,.Tigo pesa ni mawakala wa Benki wanaingia mikataba na mabenki kumpunguzia usumbufu tu mteja
Kubali tu wewe na Lisu wako ni mambumbu tu
Kitambulisho cha mjasiriamali namba imeunganishwa na NIDA usikione hakina picha.Ni kama namba ya simu tu imeungwa na NIDA lakini waweza kopa sababu mkopeshaji taarifa zako anazo hadi picha kupitia kitambulisho cha NIDAHehehe...ona ulivyozidi kuwa mjinga unaelekea kwenye upumbavu...
Boss wako kazungumzia kitambulisho cha mjasiriamali. Wewe unasema habari za kitambulisho cha NIDA. una akili kweli?
Yaani Mobutu anawafuasi dhaifu sana wenye utapiamlo wa akili.Jamaa halinaga akili hilo lina hoja za kipuuzi na kifala sana [emoji23][emoji23] unaweza kucheka majitu kama hayo ndo matetezi ya Meko ni aibu sana...
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Hiyo mikopo iko benki .Benki huingia mikataba na halmashauri kwenye hizo programuHapa inazungumziwa benki ndugu sijui kama umeelewa.
we na magu ni mapunguani tu labda kama una attach na kadi ya ccm ili upewe mkopo kwa maelekezo toka juumobile banking wanakopesa
Tigo pesa nk ni sehemu ya mobile banking kama hujui,.Tigo pesa ni mawakala wa Benki wanaingia mikataba na mabenki kumpunguzia usumbufu tu mteja
Kubali tu wewe na Lisu wako ni mambumbu tu
Acha kudanganya hapa wewe punguwani wa ccm.mikopo ya vijana na wanawake ya kwenye halmashauri haitoki benki ni fedha za mapato ya ndani.hakuna benki inayokopesha kwa kitambulisho cha magufuli.Hiyo mikopo iko benki .Benki huingia mikataba na halmashauri kwenye hizo programu
Hivi inawezekana kitambulisho cha wamachinga ukaombea mkopo bank na ukapewa huo mkopo kweli?Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.
"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
Zitto alikuwa sahihiSure sisi sio washamba!
Wanadhani watanzania woote tunatokea kwa kina KibajajMpumbavu ni yule anayedanganya wapumbavu wenzie kuwa kitambulisho kisicho na jina kinaweza kutumika kuombea mkopo benki.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Heri tumchague mh Lissu atuvushendo maajabu ya dunia ,jamaa anadanganya mchana kweupe anaona watanzania wote ni washamba kama yeye
Kabisa mkuuJinga hilo.
Tume tayari inajua mshindi wakeSisiem haina watu wajanja mkuu, kuna wapumbavu wengi ila ndio wanatafuta wajinga ili wawafanye wapumbavu kama wao kitu ambacho hakiwezekani...
......Tutawashangaza Oct 28 acha wajipe matumaini ya flayiova, esigiala, meli na bombadia wanafikiri sie washamba kama wao...
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Unaelewa unachoongea?Kitambulisho cha mjasiriamali namba imeunganishwa na NIDA usikione hakina picha.Ni kama namba ya simu tu imeungwa na NIDA lakini waweza kopa sababu mkopeshaji taarifa zako anazo hadi picha kupitia kitambulisho cha NIDA
Ndio maana ukienda kusajili simu unaombwa tu kitambulisho au namba tu ya NIDA hupigwi picha
Hahaha....Leo umekamatika.Hiyo mikopo iko benki .Benki huingia mikataba na halmashauri kwenye hizo programu