Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Hehehe...ona ulivyozidi kuwa mjinga unaelekea kwenye upumbavu...

Boss wako kazungumzia kitambulisho cha mjasiriamali. Wewe unasema habari za kitambulisho cha NIDA. una akili kweli?
Jamaa halinaga akili hilo lina hoja za kipuuzi na kifala sana [emoji23][emoji23] unaweza kucheka majitu kama hayo ndo matetezi ya Meko ni aibu sana...

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Wala huhitaji kwenda benki fungua upesi moblie banking au sim banking anza kuweka hizo pesa zako za kimachinga halafu utakopa bila shida au anza kukopa airtelmoney,tigo pesa ,mpesa nk muulize hata jirani yako wanakopaje
Hahaha...acha ujinga, kile kitambulisho cha kijinga cha boss wako hakidhamini mtu benki.

Hoja ni kitambulisho cha boss wako kutumika kuombea mkopo benki Kama boss wako alivyowadanganyeni...hizo habari za sim bank ni swala lingine!.
 
mobile banking wanakopesa

Tigo pesa nk ni sehemu ya mobile banking kama hujui,.Tigo pesa ni mawakala wa Benki wanaingia mikataba na mabenki kumpunguzia usumbufu tu mteja

Kubali tu wewe na Lisu wako ni mambumbu tu
Hahaha...tumekukamata pabaya leo...hoja hapa ni kitambulisho cha boss wako kutumika kuombea mkopo benki Kama boss wako alivyowadanganyeni...hizo habari za sim bank ni swala lingine!.
 
Hehehe...ona ulivyozidi kuwa mjinga unaelekea kwenye upumbavu...

Boss wako kazungumzia kitambulisho cha mjasiriamali. Wewe unasema habari za kitambulisho cha NIDA. una akili kweli?
Kitambulisho cha mjasiriamali namba imeunganishwa na NIDA usikione hakina picha.Ni kama namba ya simu tu imeungwa na NIDA lakini waweza kopa sababu mkopeshaji taarifa zako anazo hadi picha kupitia kitambulisho cha NIDA

Ndio maana ukienda kusajili simu unaombwa tu kitambulisho au namba tu ya NIDA hupigwi picha
 
mobile banking wanakopesa

Tigo pesa nk ni sehemu ya mobile banking kama hujui,.Tigo pesa ni mawakala wa Benki wanaingia mikataba na mabenki kumpunguzia usumbufu tu mteja

Kubali tu wewe na Lisu wako ni mambumbu tu
we na magu ni mapunguani tu labda kama una attach na kadi ya ccm ili upewe mkopo kwa maelekezo toka juu
 
Hiyo mikopo iko benki .Benki huingia mikataba na halmashauri kwenye hizo programu
Acha kudanganya hapa wewe punguwani wa ccm.mikopo ya vijana na wanawake ya kwenye halmashauri haitoki benki ni fedha za mapato ya ndani.hakuna benki inayokopesha kwa kitambulisho cha magufuli.
 
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.

"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
Hivi inawezekana kitambulisho cha wamachinga ukaombea mkopo bank na ukapewa huo mkopo kweli?
 
Hivi inawezekana kitambulisho cha wamachinga ukaombea mkopo bank na ukapewa huo mkopo kweli?
ndo maajabu ya dunia ,jamaa anadanganya mchana kweupe anaona watanzania wote ni washamba kama yeye
 
Sisiem haina watu wajanja mkuu, kuna wapumbavu wengi ila ndio wanatafuta wajinga ili wawafanye wapumbavu kama wao kitu ambacho hakiwezekani...
......Tutawashangaza Oct 28 acha wajipe matumaini ya flayiova, esigiala, meli na bombadia wanafikiri sie washamba kama wao...

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
Tume tayari inajua mshindi wake
 
Kitambulisho cha mjasiriamali namba imeunganishwa na NIDA usikione hakina picha.Ni kama namba ya simu tu imeungwa na NIDA lakini waweza kopa sababu mkopeshaji taarifa zako anazo hadi picha kupitia kitambulisho cha NIDA

Ndio maana ukienda kusajili simu unaombwa tu kitambulisho au namba tu ya NIDA hupigwi picha
Unaelewa unachoongea?

Hivyo vitambulisho vya mjasiriamali vilitengenezwa kwa ajili ya boss wako apate hela maana hazina ipo hoi.

Uliwahi kujiuliza ni kwanini kitambulisho cha NIDA tunakipata BURE lakini cha mjasiriamali kinauzwa TZS 20,000/-?.
 
Back
Top Bottom