Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

No ulaghai ni kusema havina jina.
Vina majina....

Ingekuwa hakuna jina sasa si wangepeana wafanyabiashara wote kimoja mkuu?

jamaa yenu mzushi kimtindo

Viva Magu 2020 to 2030
Vigeugeu sana mara mseme ni vya lazima kwa wamachinga mara mseme ni vya hiari

Shkamoo Lissu
 
Kuna mikopo ya vikundi ya Wajasiriamali kwa akina Mama na Vijana kutoka Serikalin
Nimewah kutaka kuwa Mnufaika

Kwa hiyo?

Unaweza kukopea mikopo hiyo kwa kitambulisho hicho?

By the way, huyu Jiwe na CCM wote wanaelewa maana ya "kitambulisho" kweli?

Kitambulisho unapewa ili kikutambulishe kuanzia jina lako, mahali unapoishi, umri wako na taarifa zingine zote.

Sasa hiki cha Magufuli kinamtambulisha nani maana hakina vyote hivyo? Hiko ni kipande cha karatasi kisicho na maana yoyote..

Kimetumika kuiba pesa za watu tu hicho, NOTHING MORE, NOTHING LESS...

Hicho hata ukija kwangu au ukienda kwenye kikundi chochote hawakihesabu kama kitambulisho!!!
 
SawaSawaaa...
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.

"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
 
Anadhani watz ni wajinga anajiripokea tu
 
Kumbe vile vitambulisho havina jina wala picha?
kumbe kuna kazi kweli kweli ya kuelimishana nadhan ata pole pole hajui kama vile vitambulisho havina picha wala jina
hata kadi za crdb hazina picha, ulishashindwa kutoa pesa kwenye atm? huyu jamaa alishawaona majuha kweli
 
Na leo kaendeleza urongo huu huu. Hivi anafanya mzaha au anamaanisha kabisaa kuwa mtu anaweza pata mkopo kwa hivyo vitambulisho? Kweli madaktari watusaidie jamani. Labda kuna vitu haviko sawa.
 
Jibu hoja ya Lissu kuhusu kitambulisho kisichokuwa na Jina Picha wala Sahihi unaweza kwenda kukikopea Benki ?..mwacheni Lissu amkimbize mwizi wake
Hata kutumika kukutambulisha wakati wa kumwekea mtu dhamana tu hakifai
 
Back
Top Bottom