Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Sasa kama kampeni hazijaanza Rallies za nini anafanya? Eti tusubur kampeni, ko kwenye kampeni atabadilisha KICHWA hiki alichonacho akiache?

Ama kweli #NIYEYE YULEYULE. Hana lolote tu kama zamani. Kuropoka tu! Swain....
Nyie watu mnatia huruma kama Lisu hana lolote kwa nini mlimpiga risasi na kumfukuza bungeni akiwa kitandani??
Uone sasa mnavyo muogopa hadi kivuli chake, hata unavyo andika ni dalili za woga tuu!!
Tuletee wasiojulikana waliompiga Lisu marisasi tukuamini kweli!!
 
Kama mama yako!
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.

Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa
 


sasa siasa gan izo kazi yake kutoa mipasho? we hutaki tumseme akifanya utumbo unataka tumsifie? ukweli ni kwamba anafanya siasa chafu
 
Tulia mkoloni mweusi
 
Sahivi wananchi washafunguka akili awako tena na matendo ya huruma kama yale ya ROMAN sahivi wanataka hoja LISU jenga hoja bomoa hoja kwa hoja na si kufanya personal attack.

CHADEMA wako na asilimia kubwa sana wakupata kura chache na kupoteza majimbo mengi. Labda kama target yao mwaka huu ni kushika dola.

"jenga hoja bomowa hoja kwa hoja..........."

Mwaka huuu CHADEMA uwakika ni mkubwa wakupata asilimia ndogo sana za kura na wabunge.
 
sasa siasa gan izo kazi yake kutoa mipasho? we hutaki tumseme akifanya utumbo unataka tumsifie? ukweli ni kwamba anafanya siasa chafu

Sina popote ninapokuzuia kumsema maana najua siasa. Nilichosema siasa za mawe sio siasa bali ni uhalifu. Unakwama wapi?
 
Wewe upo ruangwa mambo ya kaskazini unayafahamu vp!?
 
watu wasome coment huko istagram kwa post za kumbusho za Lissu ndio utajua watu wameshanza kumchoka
HAHAHAHAHA kweli kampeni ya lisu kama ndo imeanza kwa style hizi labda wakachukuwe mamluki nchinza za jirani kuja kuwapigiya mayoe katika kampeni zao

Nyomi la mwaka 2015 nikama waliotea
 
Za magu mbona huonyeshi.alafu hii siyo kampeni.ila Nona akili zko Ni jinga za kibongo fleva.
Kama watu wanashinda kwa kujaza watu basi Lisu na Diamond wakishindana, Lisu anapigwa asubuhi na mapema kabisa
 
EAC road imejengwa na EAC, Mradi wa maji umegharimiwa na World Bank, Hspt ya wilaya ilijengwa na wafadhiri waliletwa na Lema Ghambo akaubeba ju kwa juu wana Ars wanajua!!
Hivyo huna lolote!!
Kuna viwanda zaidi ya vinne vimefungwa vya maua.
Watu zaidi elfu kumi hawana ajira, wana watoto pamoja na familia zinawategemea wapo vijiweni hawana kazi.
Bureu de Change zaidi ya kumi zimefungwa watu wamedhulumiwa fedha zao dola wamefilisika!!
Majirani zetu Kenya, Sudani na Uganda hawanunui bidhaa kwetu hata wakulima mazao hakuna bei!!
Serikali imekua controler wa maisha ya watu imeuwa uchumi, watu wamesinyaa wako hoi!!
Hiyo ni Ars umeelewa mbulula wa Lumumba??
 
Maovu yote tuawatwika mabeberu! Je ni mabeberu ndo wamezjia wapinzani kufanya siasa na kuruhusu kijani kibichi peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…