Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Sasa kama kampeni hazijaanza Rallies za nini anafanya? Eti tusubur kampeni, ko kwenye kampeni atabadilisha KICHWA hiki alichonacho akiache?

Ama kweli #NIYEYE YULEYULE. Hana lolote tu kama zamani. Kuropoka tu! Swain....
Nyie watu mnatia huruma kama Lisu hana lolote kwa nini mlimpiga risasi na kumfukuza bungeni akiwa kitandani??
Uone sasa mnavyo muogopa hadi kivuli chake, hata unavyo andika ni dalili za woga tuu!!
Tuletee wasiojulikana waliompiga Lisu marisasi tukuamini kweli!!
 
Kama mama yako!
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.

Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa
 
Siasa chafu tunaziona wala hatuhadithiwi, chaguzi zote toka awamu hii iingie zimenajisiwa, labda kama hujui siasa chafu ni nini. Hata washabiki wa Yanga wanasema Simba haijui kucheza, je washabiki wa simba wanaowapiga mawe wa Tanga? Sio wajibu wa Lisu kusema Magufuli kafanya kitu, nyie ndio washabiki wa Magufuli ni wajibu wenu kusema alichofanya, kisha box la kura litaamua. Labda kama mko kwenye siasa bila kujua namna ya kucheza mchezo wa siasa. Hata wazungu wanasema sisi ni masikini sana, umewahi kuona tunawapiga mawe? Hatulalamiki kupigwa mawe, bali tunasema tukianza siasa za kupigana mawe hatutoboi. Na sisi hatuna muda wa siasa za mabavu, maana tunaujua vyema mchezo wa siasa.

sasa siasa gan izo kazi yake kutoa mipasho? we hutaki tumseme akifanya utumbo unataka tumsifie? ukweli ni kwamba anafanya siasa chafu
 
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.

Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
Tulia mkoloni mweusi
 
Sahivi wananchi washafunguka akili awako tena na matendo ya huruma kama yale ya ROMAN sahivi wanataka hoja LISU jenga hoja bomoa hoja kwa hoja na si kufanya personal attack.

CHADEMA wako na asilimia kubwa sana wakupata kura chache na kupoteza majimbo mengi. Labda kama target yao mwaka huu ni kushika dola.

"jenga hoja bomowa hoja kwa hoja..........."

Mwaka huuu CHADEMA uwakika ni mkubwa wakupata asilimia ndogo sana za kura na wabunge.
 
sasa siasa gan izo kazi yake kutoa mipasho? we hutaki tumseme akifanya utumbo unataka tumsifie? ukweli ni kwamba anafanya siasa chafu

Sina popote ninapokuzuia kumsema maana najua siasa. Nilichosema siasa za mawe sio siasa bali ni uhalifu. Unakwama wapi?
 
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.

Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
Wewe upo ruangwa mambo ya kaskazini unayafahamu vp!?
 
watu wasome coment huko istagram kwa post za kumbusho za Lissu ndio utajua watu wameshanza kumchoka

HAHAHAHAHA kweli kampeni ya lisu kama ndo imeanza kwa style hizi labda wakachukuwe mamluki nchinza za jirani kuja kuwapigiya mayoe katika kampeni zao

Nyomi la mwaka 2015 nikama waliotea
 
Za magu mbona huonyeshi.alafu hii siyo kampeni.ila Nona akili zko Ni jinga za kibongo fleva.
Kama watu wanashinda kwa kujaza watu basi Lisu na Diamond wakishindana, Lisu anapigwa asubuhi na mapema kabisa
 
Hio ni ishara mbaya sana kwa lema...... Arusha kuna mradi hatawa maji mkubwa sana unajenga ... Barabara za lami nyingi zimejengwa... Wafanyabiashara wadogo walokuwa wanamsampoti sana lema leo wanafanya biashara bila buguza...
Mfano kuna mama mmoja anauza matunda kwa beseni nje ya makao makuu ya ttcl....
Tuna hospital mpya ya wilaya sasa..
Na zahanati na vituo vya afya vipya vingi tuu..
EAC road imejengwa na EAC, Mradi wa maji umegharimiwa na World Bank, Hspt ya wilaya ilijengwa na wafadhiri waliletwa na Lema Ghambo akaubeba ju kwa juu wana Ars wanajua!!
Hivyo huna lolote!!
Kuna viwanda zaidi ya vinne vimefungwa vya maua.
Watu zaidi elfu kumi hawana ajira, wana watoto pamoja na familia zinawategemea wapo vijiweni hawana kazi.
Bureu de Change zaidi ya kumi zimefungwa watu wamedhulumiwa fedha zao dola wamefilisika!!
Majirani zetu Kenya, Sudani na Uganda hawanunui bidhaa kwetu hata wakulima mazao hakuna bei!!
Serikali imekua controler wa maisha ya watu imeuwa uchumi, watu wamesinyaa wako hoi!!
Hiyo ni Ars umeelewa mbulula wa Lumumba??
 
Siku anatafuta wadhamini kule kahama ilikuwa ni vituko watu wachache sana walijitokeza nami nilikuwa miongoni kwa huo msafara,na boda boda waliojitokeza ni wale waliojaziwa mafuta Lita mbili ili kuongeza hamasa

Nilisiktika sana kuona huyu mtu eti mabeberu wanamtegemea kuwa atashinda urais,na kama fadhira kwao raslimali zetu zichumwe na wao

Kiufupi huyu mtu anahitaji huruma kubwa sana
Maovu yote tuawatwika mabeberu! Je ni mabeberu ndo wamezjia wapinzani kufanya siasa na kuruhusu kijani kibichi peke yake?
 
Back
Top Bottom