Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu.ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana .
Kadhalika mwanza,na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli , hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu.
,leo Arusha jibu umelipata ,viti havina watu ,kazi kwako
Acha maneno matupu weka picha tuone
 
Kama T. L hana uungwaji mkono kama unavyodai, ni kwanini SIRIkali haitaki kabisa kuona habari zake zinasikika/kuonekana?!

kama yeye sio chochote tuonesheni basi hayo mapokezi kiduchu tuone!
Lissu kasababisha hadi vyombo vya habari vipigwe [emoji419] pin
 
Wazaramo wana usemi wao "NGOMA YA WATOTO HUWA HAIKESHI IKIFIKA USIKU KATI WOTE USINGIZI".POLE LISSU HIYO NDIYO BONGO, NA BADO HUJAFIKIA KUTOa amri yako ovu ya kuwaingiza barabarani, utaambulia patupu
Naona unajitekenya alafu unajifanya kukenua
 
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu.ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana .
Kadhalika mwanza,na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli , hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu.
,leo Arusha jibu umelipata ,viti havina watu ,kazi kwako
Bila picha hizi ni blabla tu

Afu hatutaki picha za ku edit
 
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 
Siku anatafuta wadhamini kule kahama ilikuwa ni vituko watu wachache sana walijitokeza nami nilikuwa miongoni kwa huo msafara,na boda boda waliojitokeza ni wale waliojaziwa mafuta Lita mbili ili kuongeza hamasa

Nilisiktika sana kuona huyu mtu eti mabeberu wanamtegemea kuwa atashinda urais,na kama fadhira kwao raslimali zetu zichumwe na wao

Kiufupi huyu mtu anahitaji huruma kubwa sana
 
Back
Top Bottom