Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Siku anatafuta wadhamini kule kahama ilikuwa ni vituko watu wachache sana walijitokeza nami nilikuwa miongoni kwa huo msafara,na boda boda waliojitokeza ni wale waliojaziwa mafuta Lita mbili ili kuongeza hamasa

Nilisiktika sana kuona huyu mtu eti mabeberu wanamtegemea kuwa atashinda urais,na kama fadhira kwao raslimali zetu zichumwe na wao

Kiufupi huyu mtu anahitaji huruma kubwa sana
Hawezi shinda kabisa. Watz siyo wajinga kiasi hicho.
 
Wala ha
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu.ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana .
Kadhalika mwanza,na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli , hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu.
,leo Arusha jibu umelipata ,viti havina watu ,kazi kwako
Wala haikusaidii chochote,kuandika uzushi,uzandiki,uongo.watu wamejaa pomoni.na roho imekuuma sana.mchawi tu wewe.katafute kingine.
 
Ajielekeze kwenye kutatua kero za wananchi, kwani kampeni zimeanza? Subiri kampeni ndiyo uje utoe uharo wako hapa!
Sasa kama kampeni hazijaanza Rallies za nini anafanya? Eti tusubur kampeni, ko kwenye kampeni atabadilisha KICHWA hiki alichonacho akiache?

Ama kweli #NIYEYE YULEYULE. Hana lolote tu kama zamani. Kuropoka tu! Swain....
 
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.

Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania .

Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu.ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana .
Kadhalika mwanza,na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.

Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .

Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli , hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .

Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu.
,leo Arusha jibu umelipata ,viti havina watu ,kazi kwako

795a0711-80af-4598-85eb-842106bf1cd8.jpg
 
mkuu achana na lissu kwanza nafasi aliofikia lissu wenada mpaka uwe mzee utokuja kuipata wakati unaona moja wengine wanaona mbili ,hivyo sisi kama sisi hatuwezi jua mikakati ya chama usika maana ipo mingi inayo onekana na isio onekana tulia kampeni zianze kwanza , kumbuka mpaka sasa lissu anaongozwa na washauri so wenda ukaona mapokezi ni madogo but pia yakawa yamezuiliwa kimkakati kuhusu usalama zaidi
 
Lissu anaulemavu wa akili
Lissu akili mingi sn ndio maana maccm yamepagawa..... Mzee wa Phd feki hawezi hata kuongea sentensi moja ya kiingereza kazi yake kupiga makelele, kufokafoka na kuropoka bila mpangilio
 
Arusha hawana taimu na mpiga kelele na mropokaji. Wana Arusha wako bize kutumia fursa ya kusafirisha mizigo yao kwa gharama nafuu kwa kutumia treni!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Back
Top Bottom