Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Acha maneno matupu weka picha tuone
 
Kama T. L hana uungwaji mkono kama unavyodai, ni kwanini SIRIkali haitaki kabisa kuona habari zake zinasikika/kuonekana?!

kama yeye sio chochote tuonesheni basi hayo mapokezi kiduchu tuone!
Lissu kasababisha hadi vyombo vya habari vipigwe [emoji419] pin
 
Wazaramo wana usemi wao "NGOMA YA WATOTO HUWA HAIKESHI IKIFIKA USIKU KATI WOTE USINGIZI".POLE LISSU HIYO NDIYO BONGO, NA BADO HUJAFIKIA KUTOa amri yako ovu ya kuwaingiza barabarani, utaambulia patupu
Naona unajitekenya alafu unajifanya kukenua
 
Bila picha hizi ni blabla tu

Afu hatutaki picha za ku edit
 
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 
Ofisi zenu mnachoma wenyewe kwa uvivu wa kufikiri
Serikali ya CCM imesheni WAHUNI na WAHALIFU wengi, kuanzia JPM hadi wasaidizi wake. Mwaka huu tutashuhudia viroja vingi sana.
 
Siku anatafuta wadhamini kule kahama ilikuwa ni vituko watu wachache sana walijitokeza nami nilikuwa miongoni kwa huo msafara,na boda boda waliojitokeza ni wale waliojaziwa mafuta Lita mbili ili kuongeza hamasa

Nilisiktika sana kuona huyu mtu eti mabeberu wanamtegemea kuwa atashinda urais,na kama fadhira kwao raslimali zetu zichumwe na wao

Kiufupi huyu mtu anahitaji huruma kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…