gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
kama nilivyosema Lisu alikuwa anaisoma kwa makini kinyume cha wale wabunge wa ndio waliokuwa wanashangilia tu,kila lisemwalo ili mradi anaesema ni mtu wa ccm kama alivyosema Polepole
Una utani na Thornton. Baada ya rais alifafanua walichokubaliana. Na alieleza qazi kuwa watapitia kipengele baada ya kipengele vya zile ripoti ili wajiridhishe. Na akasema watalipa kile kitakachoonekana ni halali wao kulipa.Lissu anaposha umma
Lissu ni mwanasheria
Mimi sio mwanasheria
Ila najua, siku zote sheria ikitungwa mpya
Huwa airudi nyuma
Kwa maana ya kuwa mambo mengine yote yalikubaliwa kabla ya sheria mpya hiyo kutungwa huwa ayahusiki
Kwa mantini ni kweli, mikataba ya huko nyuma haitahusika na sheria hii mpya
Ila pamoja na yote hayo, bado kuna room ya serikali na Barrick gold mine kureview nikataba yote ya huko nyuma
Ili kila mmoja wetu apake kwa jinsi inavyostahiki
Na ndio maana alipokuja mwenyekiti wa Barrick
Walikubaliana serikali na Barrick
Wote wataunda kamati
Then wakae chini wapitie mikataba yote ya nyuma
Kuangalia wapi kuna matatizo
Na ndio sababu kubwa iliyofanya
Miswada hii mitatu kupelekwa bungeni under certificate of urgency
Ili makubaliano hayo watakayokubaliana, ya reflect sheria mpya za madini
Na kwa taarifa tu, kwa mujibu wa tafiti za madini Tanzania
Mpaka sasa ni 4% tu ya madini yote yaliyipo Tanzania ikiwemo mafuta na gas ndio imeshachibwa
96% ya madini nado haijagushwa
Kwa mantini hiyo
Miswada hii ya sheria
Pindi itakapi kuwa sheria
Ni dhahiri ina manufaa makubwa sana kwa taifa letu
Naomba takwimu kwamba ni 4% tu ya madini yaliyoko nchini yamechimbwa.Lissu anaposha umma
Lissu ni mwanasheria
Mimi sio mwanasheria
Ila najua, siku zote sheria ikitungwa mpya
Huwa airudi nyuma
Kwa maana ya kuwa mambo mengine yote yalikubaliwa kabla ya sheria mpya hiyo kutungwa huwa ayahusiki
Kwa mantini ni kweli, mikataba ya huko nyuma haitahusika na sheria hii mpya
Ila pamoja na yote hayo, bado kuna room ya serikali na Barrick gold mine kureview nikataba yote ya huko nyuma
Ili kila mmoja wetu apake kwa jinsi inavyostahiki
Na ndio maana alipokuja mwenyekiti wa Barrick
Walikubaliana serikali na Barrick
Wote wataunda kamati
Then wakae chini wapitie mikataba yote ya nyuma
Kuangalia wapi kuna matatizo
Na ndio sababu kubwa iliyofanya
Miswada hii mitatu kupelekwa bungeni under certificate of urgency
Ili makubaliano hayo watakayokubaliana, ya reflect sheria mpya za madini
Na kwa taarifa tu, kwa mujibu wa tafiti za madini Tanzania
Mpaka sasa ni 4% tu ya madini yote yaliyipo Tanzania ikiwemo mafuta na gas ndio imeshachibwa
96% ya madini nado haijagushwa
Kwa mantini hiyo
Miswada hii ya sheria
Pindi itakapi kuwa sheria
Ni dhahiri ina manufaa makubwa sana kwa taifa letu
Hajaambukiza. Ana ushawishi kwa sababu hoja zake zinaeleweka. Zile porojo na matisho hazielewekagi hadi wakodiwe watu kuzipigia chapuo.ripoti ya kwanza ilipotoka tundu Lissu aliipinga na kutishiwa kuwa kama nchi tutashitakiwa ilo likapita ,ikatoka ripoti ya pili na sasa miswada imepelekwa bungeni kwa hati ya dharula tofauti na vipindi vya nyuma ambacho miswada ya dharula ililenga kuwanufaisha watu wachache safari hii imelenga kulinda maslahi ya nchi.Tundu Lissu badala ya kukaa bungeni na kutoa mchango wake bado amekaa huku nje na kupiga porojo na bahati mbaya ameambukiza watu wengi hii tabia ya kupingapinga
Having missed such a simple fact as Barrick's chunk in Acacia, how can you grasp the bigger picture of what will be your side of the knife given the arbitration?Acacia in this issue only bears the risk of tainted brand, whereas Barrick Gold bears the real risk of 73.9% shares. To that end, other than facts in the information herein provided, this Acacia's statement is relatively ineffectual.
Alishatumia mbinu zote na haeleweki. Kwa miaka zaidi ya 20. Kama haitoshi, anapigwa chapa ya usaliti na kusingiziwa kuwa wakala wa Acacia. Hapo unadhani atafanya nini?Ukisoma nilichoandika utagundua kuwa sijakataa kuwa Lisu ni mwanasheria mahiri, ila haina maana kuwa ni yeye tu aliye mahiri (kuna wengi sana wabobezi ktk sheria zaidi yake lkn wao si wanasiasa ). Mtizamo wangu ni kuwa mara zote anawasilisha maoni yake kwa mtizamo hasi ambao wakati mwingine unatia shaka dhamira yake. Na pia uwasilishaji wake wa mambo hauwezi kumuonyesha kama Rais wa wanasheria.
Kama ambavyo miaka yote wamekuwa wakifanya!Bado ubwabwa wa shingo haujawatoka...waacheni wakubwa zenu wafanye mambo.
Nina uhakika kuna siku watamuita Lissu kuyaweka sawa. Hii nchi ya wote. Hawana haja kumtenga wakati kila mtu anaona uwezo wake na udhaifu wao uu wazi kama jua la saa 6.
Tindu Lissu ana akili za kawaida tu, ila mkulu ni mwendawazimu, hivyo anasababisha lissu aonekane person of superior intellectTundu Lissu ana akili sana..
Na watawala wanalijua hilo.
Pumbavulao amepatia Wapi akili? Huyo ni bogus tu.Lizaboni????, Jingalao na wengine wachache, (angalau nyinyi mna akili kidogo pamoja na kuwa siwajui) njoo mtoe maoni yenu kwa andiko hili la Lisu.
Hapana, hatumwamini bali tunasubiri tu zile Noah zetu, bila shaka hazitatoka kwa kuangalia uvyama wala ukanda!Lissu anawadanganya sana nyumbu!! Akisema tu wanashangilia kama kawaida yao. Kwanza mikataba yote ipashwa kufanyiwa review kila baada ya miaka mitano hii ni kwa mujibu wa sheria ya madini ya 2010. Sasa anaposema sheria zilizopitishwa haziwahusu Acacia ana wadanganya nyumbu tu. Review ya existing mikataba ipo pale pale kwa maana nyingine wakati wa review hii mikataba automatically sheria hizi mpya ndiyo sitatumika na wala si vifungu vya sheria ya zamani ambavyo vimefutwa na sheria hii. Jamani tumieni akili kidogo basi si kila kitu anachosema TL mnashangilia!
Kwaakili kama hizi usikute Nawewe ni miongoni mwa washika Madaraka Kwanini NCHI isikwameAndiko hilo na hoja ya Lissu ni kuona nchi inashindwa ili Lissu apate sifa. Aliyofanya Magufuli na heshima aliyoipata hakuna wa kuichukua. Ninachoona hapa ni kujitambulisha kwa msimamo wa viongozi wa CHADEMA. Wale walioko kwenye migodi na wanaooumia ndio watakaowahukumu vyema 2020 mtaona kama mtapata Jimbo lolote eneo hilo. Tena ni bora asiwe Lissu maana atashindwa vibaya sana.
Ngoja tusubiri wakina joka LA makengeza kuswekwa ndani. hahahaha ndoto za mchana hizooo. movie linaishia kwa haohao mbuzi wa kafara wakina rugeMkuu wa nchi kaita watu majizi na kuamuru waliosaidia majizi wawajibishwe na kufanyiwa uchunguzi kuitafuta jinai wewe unasema kitu gani hapa!