Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Kwa hiyo kwa akili yako, hata waziriwa sheria, Prof. Kabudi, aliyethibitisha nilichokisema kwenye post yangu jana kuwa, "maneno yaliyoandikwa kwenya mtandao wa JamiiForums | The Home of Great Thinkers kuwa sheria itakayotokana na miswada mipya haitahusu mikataba iliyokwisha sainiwa na marais waliotangulia ni ya uongo, uzushi na uzandiki" naye hajui lugha iliyotumika kwenye miswada husika?Yawezekana unajua hizo. Ila 'uelewa' wako wa kinachowasilishwa kwa hiyo lugha ni mdogo sana.