Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

kama nilivyosema Lisu alikuwa anaisoma kwa makini kinyume cha wale wabunge wa ndio waliokuwa wanashangilia tu,kila lisemwalo ili mradi anaesema ni mtu wa ccm kama alivyosema Polepole
 
Una utani na Thornton. Baada ya rais alifafanua walichokubaliana. Na alieleza qazi kuwa watapitia kipengele baada ya kipengele vya zile ripoti ili wajiridhishe. Na akasema watalipa kile kitakachoonekana ni halali wao kulipa.

Kama una nukuu yoyote kuwa aliongelea kujadiluana mikataba nipe link.
 
Naomba takwimu kwamba ni 4% tu ya madini yaliyoko nchini yamechimbwa.
 
Hajaambukiza. Ana ushawishi kwa sababu hoja zake zinaeleweka. Zile porojo na matisho hazielewekagi hadi wakodiwe watu kuzipigia chapuo.
 
Acacia in this issue only bears the risk of tainted brand, whereas Barrick Gold bears the real risk of 73.9% shares. To that end, other than facts in the information herein provided, this Acacia's statement is relatively ineffectual.
Having missed such a simple fact as Barrick's chunk in Acacia, how can you grasp the bigger picture of what will be your side of the knife given the arbitration?

Ah! You just reminded me the man's undestanding of Barrick's relationship with Acacia. To the extent of dismissing Acacia to be on the table. So much for a president.

Am I overstretching to think that you may be his advisor?
 
Kwa nondo hizi bila shaka team Lumumba watakuwa wameanguka kifafa.
 
Alishatumia mbinu zote na haeleweki. Kwa miaka zaidi ya 20. Kama haitoshi, anapigwa chapa ya usaliti na kusingiziwa kuwa wakala wa Acacia. Hapo unadhani atafanya nini?
 
KILA MTU ASUBIRI ZAMU YAKE KUWA RAIS SAIZ NIPO MIMI hahaaaaa
 
M
Lizaboni????, Jingalao na wengine wachache, (angalau nyinyi mna akili kidogo pamoja na kuwa siwajui) njoo mtoe maoni yenu kwa andiko hili la Lisu.
Pumbavulao amepatia Wapi akili? Huyo ni bogus tu.
 
Hapana, hatumwamini bali tunasubiri tu zile Noah zetu, bila shaka hazitatoka kwa kuangalia uvyama wala ukanda!
 
Kwaakili kama hizi usikute Nawewe ni miongoni mwa washika Madaraka Kwanini NCHI isikwame
Hebu tusaidie ni LIPI la maana lililofanyika mpaka sasa hadi muwe mnarukaruka kama ndama
 
Mkuu wa nchi kaita watu majizi na kuamuru waliosaidia majizi wawajibishwe na kufanyiwa uchunguzi kuitafuta jinai wewe unasema kitu gani hapa!
Ngoja tusubiri wakina joka LA makengeza kuswekwa ndani. hahahaha ndoto za mchana hizooo. movie linaishia kwa haohao mbuzi wa kafara wakina ruge
 
Mdogomdogo yote Mhe. Lissu aliyotoa angalizo yanatukia!
 

Attachments

  • IMG_20170704_205327_838.JPG
    62.2 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…