Baada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ:
Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20
Yafuatao ni maoni yangu:
1. Kwa weledi, ufahamu na kujitoa kwake, Mh. Lissu ni mtu muhimu sana kwa nchi hii.
2. Maria Sarungi kwa uwezeshaji wake ni kiungo muhimu sana kwa Tanzania mpya ambayo wengi wetu tungependa kuiishi.
3. Ni wazi kuwa watu kama hawa kama aitavyo beberu ni "High Valued Targets" (HTV) kwa watesi wetu.
Ikumbukwe Mh. Lissu alikwisha nusurika jaribio dhidi ya maisha yake. Kudhani kuwa yalikwisha pita itakuwa ni kujidanganya "big time."
Kuna jirani zetu wenye ka kufanana na sisi zao ni kuwawinda wapinzani wao kokote waliko na hasa kwenye sikukuu kama hizi za mwishoni mwa miaka.
Chonde chonde wakubwa.
Siyo siri, tukipigwa hawa tutakuwa na hali mbaya.