Lissu yuko informed vizuri sana kama ulikua hujui! Wengi waliexpect around April Lissu angerudi Tanzania ila haijawa hivyo ! Hata nchi aishiyo ndio sebule ya wale jamaa pia ni makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya
Lissu alikua ni mtu wa kwanza pia kutoa breaking news ya kuhusu whereabouts za jiwe !
Kupitia hivyo niliona wazi sio watu wote waliokuwemo huko mjengoni walifurahishwa/ wanafurahishwa na yaliyokuwa na yanayoendelea!
Ndio maana naamini upinzani au utofauti wa kimawazo sio lazima vionekane wazi ila vina nguvu ya ajabu.
Kuhusu Maria sifahamu sana last time nilisikia anaishi Uhabeshi (ukweni) napo sio kwa kitoto kujipenyeza ni makao makuu mengine ya jumuiya.
Nb:Kwa Kumbukumbu zangu ni miezi michache nyuma Lissu alifika hadi Kenya ila hakutia mguu Tanzania