Uchaguzi 2020 Lissu: Mawakala wasiporuhusiwa, kura zisipigwe

Uchaguzi 2020 Lissu: Mawakala wasiporuhusiwa, kura zisipigwe

Hapa hakuna uchaguzi. Nmeshaona dalili kwa mara ya kwanza uchaguzi mkuu kuridiwa
 
Kwanini mnawaza mawakala wenu watachelewa kufika kituoni?? Kwa nini wasiende wakalala huko huko?
Hajasema mawakala wake. Soma uzi upya. Huu unawahusu mawakala ya vyama vyote sio chama chake tu
 
Wiki moja kabla ya uchaguzi kila wakala atakuwa anajua ni wapi amepangiwa,ni wajibu wao kwenda kuhakiki mahali hapo ulipopangiwa kama ni sahihi,wakileta uzembe ni juu yao.

Kwanini mgombea wa chadema ana kauli tata za kuashiria sintofahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache kupeyuka hovyo huyu. Kapewa adhabu ya siku7 kusimama kufanya kampeni alifanya nini zaidi ya kwenda kusagura magagulo Manzese. Hana hata chembe ya akili zaidi ya kuropoaka hovyo kila wakati.

Huyu anajeuri kuliko Cuf ya Maalimu na kina babu Dunni wa bistola??
 
Hivi wanahesabu manually au wana add kwa mfumo flani? Kwa tz hukawii kuona kanuni au formula zinaduplicate data 'maksudically'
 
Nimesikia kwamba Chama ndo kinatakiwa kuwapangia Vituo Mawakala na kuwasilisha majina ya mawakala na Vituo vyao kwa Msimamizi ambaye atawaapisha tarehe 21.10.2020, wakipeleka majina bila kuwapangia Vituo hawataapishwa. Na baada ya hapo barua zenye picha zao zitapelekwa kwa wasimamizi wa Vituo ambao watawapokea.

Hatari ninayoiona ni upamdikizaji wa mamluki kwa mawakala wa upinzani. Yaani aliyeteuliwa na Chama anafika kituoni anakuta mamluki ameshapokelewa na Msimamizi. Hapa ndo wanapotakiwa kuwa makini.
 
Uzuri ni kuwa huwezi fanya chochote ukileta cha kuleta mwenyewe unajua kitakachofuata watu wataimba nyimbo za mapambio!
Dunia ya kutishana ishapita hiyo, nadhani hao wababe wangetufaa sana wangeenda mpaka wa Msumbiji kutuweke usalama huko
 
Mpaka Sasa tumepita mengi ,Sasa hili swala la tume na mawakala ,naludia tume iwe makini laweza sababisha wenda jpm akaendelea kua rais kwa mda wakati uchaguzi umeharishwa na je Kama itakua hivyo nchi yetu katika uso wa dunia itakueje?

Na Kama haitoshi ni kitaendelea bahada ya hapo? Tume kweli wenda hamlali tokana na kipindi hiki,ila elewa wapo watz pia hawalali au Kuna siku hawakulala kuliombea taifa hili.

Mawakala isije kua chanzo Cha matatizo, upinzani mpaka Sasa wanevumilia mengi hasa kipindi hichi Cha kampeni na msiwaone wajinga , tafadhali, tafadhali
 
Kwa nini wasiambiwe mapema kabisa vituo vyao ni vipi kabla ya tarehe yenyewe?

Jiwe linatafuta kila njia liibe kura, NEC wamesahau kazi yao ni kuhakikisha process ya demokrasia inafatwa wamekaa wanataka wamfurahishe jiwe huku hakuna chochote wanachofaidika nacho.
 
Back
Top Bottom