Uchaguzi 2020 Lissu: Mawakala wasiporuhusiwa, kura zisipigwe

Uchaguzi 2020 Lissu: Mawakala wasiporuhusiwa, kura zisipigwe

Mmh🤔 wakala si "mwajiriwa" wa Chama haileti maana kupangiwa kituo na TUME. Kama hilo swala Ni la kweli. Haitaleta maana kabisa. Anatakiwa. Kupangiwa, ama kukubaliana na Chama Chake.

Vyama vya Siasa Kama hili Ni la kweli, walilikubali vipi
 
Hivi Lissu anashindwa kujua kuwa mawakala wa kila kituo wataapishwa kabla ya siku saba? Hahahaha hawa wamesha shindwa hahah
 
Mmh[emoji848] wakala si "mwajiriwa" wa Chama haileti maana kupangiwa kituo na TUME. Kama hilo swala Ni la kweli. Haitaleta maana kabisa. Anatakiwa. Kupangiwa, ama kukubaliana na Chama Chake.

Vyama vya Siasa Kama hili Ni la kweli, walilikubali vipi

Hawapangiwi kituo na tume bali wanapangiwa na chama husika na kuwasilisha kwa msimamizi na wata apishwa siku saba kabla ya uchaguzi hivi nyie bavicha mbona vichwa maji?
 
IMG_20201016_180948_9.jpg
IMG_20201016_180938_3.jpg
IMG_20201016_173215_4.jpg
IMG_20201016_173248_2.jpg
 
Hawapangiwi kituo na tume bali wanapangiwa na chama husika na kuwasilisha kwa msimamizi na wata apishwa siku saba kabla ya uchaguzi hivi nyie bavicha mbona vichwa maji?
Amesema miaka yote wakala anapewa barua ya utambulisho anaenda nayo kituo cha kupigia kura. Kwenye uchaguzi huu Tume ya Uchaguzi ndio inapanga sehemu ambayo wakala atakwenda.

That's copy and paste, sio Shari.
Lengo Ni kuelewa.

Shida yenu, CCM n CDM unadhani kila mchangiaji lazima awe na Chama.

Kwani watanzania woote Ni wanavyama wa vyama vya Upinzani?
 
Huwa tumezoea kutoa kipigo kizito kwa wezi wa Baiskeli kwanini hawa wezi wa kura ambao ni wezi wabaya kabisa huwa tunawaacha?

Ushauri wangu Mwizi ni Mwizi tu tulielewe hilo
 
Hakuna kitu kama hicho. Lissu anapotosha. Kama ingekua hivyo wasimamizi wasaidizi katika kila kituo wasingewaomba vyama vya siasa wapeleke majina ya mawakala katika maeneo yao.
 
Nyie rukeni tu, katikeni tiu, ropokeni tu, chamsingi kuliko yote ni kutoleta hoja zenu za kujitetea baada ya kushindwa uchaguzi.
 
Huwa tumezoea kutoa kipigo kizito kwa wezi wa Baiskeli kwanini hawa wezi wa kura ambao ni wezi wabaya kabisa huwa tunawaacha?

Ushauri wangu Mwizi ni Mwizi tu tulielewe hilo
Unasubiri Nini kuonyesha mfano?
 
Amesema miaka yote wakala anapewa barua ya utambulisho anaenda nayo kituo cha kupigia kura. Kwenye uchaguzi huu Tume ya Uchaguzi ndio inapanga sehemu ambayo wakala atakwenda.

That's copy and paste, sio Shari.
Lengo Ni kuelewa.

Shida yenu, CCM n CDM unadhani kila mchangiaji lazima awe na Chama.

Kwani watanzania woote Ni wanavyama wa vyama vya Upinzani?

Acha uongo wewe!
 
Na ameongezea kwamba wasiporuhusu mawakala wetu mnyang'anyeni msimamizi fomu yake ya usimamizi au pale nje kwenye kituo bandueni yale majina yaliyobandikwa
 
Back
Top Bottom