Shida ilianzia pale tume ilipowajazia form wagombea wa CCM.Kwanini mnawaza mawakala wenu watachelewa kufika kituoni?? Kwa nini wasiende wakalala huko huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ilianzia pale tume ilipowajazia form wagombea wa CCM.Kwanini mnawaza mawakala wenu watachelewa kufika kituoni?? Kwa nini wasiende wakalala huko huko?
Shida ipo kwenye tumeHuyu jamaa mbona kama anatafuta political violence vile
Tunakutegemea usituangushe mkuu.Sasa nitoe mfano wakati kura bado hazijaibwa
Amehujumiwa na tume mara nyingi kukiko wagombea wengineWiki moja kabla ya uchaguzi kila wakala atakuwa anajua ni wapi amepangiwa,ni wajibu wao kwenda kuhakiki mahali hapo ulipopangiwa kama ni sahihi,wakileta uzembe ni juu yao,
Kwanini mgombea wa chadema ana kauli tata za kuashiria sintofahamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unasapoti wizi?Tunakutegemea usituangushe mkuu.
Kuna sehemu nimesema hivyo?au umeamua kujiongeza tu.Kwahiyo wewe unasapoti wizi?
Tarehe 28/10/2020 bado siku 12 tuuu! Tunyooshe mtu!
Nimesikia kwamba Chama ndo kinatakiwa kuwapangia Vituo Mawakala na kuwasilisha majina ya mawakala na Vituo vyao kwa Msimamizi ambaye atawaapisha tarehe 21.10.2020, wakipeleka majina bila kuwapangia Vituo hawataapishwa. Na baada ya hapo barua zenye picha zao zitapelekwa kwa wasimamizi wa Vituo ambao watawapokea...
Kwanini mnawaza mawakala wenu watachelewa kufika kituoni?? Kwa nini wasiende wakalala huko huko?
Wiki moja kabla ya uchaguzi kila wakala atakuwa anajua ni wapi amepangiwa,ni wajibu wao kwenda kuhakiki mahali hapo ulipopangiwa kama ni sahihi,wakileta uzembe ni juu yao,
Kwanini mgombea wa chadema ana kauli tata za kuashiria sintofahamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hapo ndio una kiwango cha kufikiri beyond utaratibu?[emoji57][emoji57]. F**k off.Huna kiwango cha kufikiri beyond utaratibu. Huna uwezo wa kujua mantiki ya malalamiko haya!!
NEC itapanga mawakala ya CCM wa eneo husika ili kuwezesha figisu na mawakala wageni kutoka vyama vingine wasioweza kutambua hata wanachama wao. Wakala wa CCM yuko pale kuhakikisha wana CCM anaowafahamu wanapiga kura (wapiga kura ambao ni wanachama wa CCM walikwisha toa taarifa zao kwa CCM huko mitaani - vitambulisho vya kura vilishaandikwa) Mawakala ya vyama vya upinzani wasiowafahamu hata wanachama wao hawatakuwa na uwezo wa kuhakikisha wanachama wao wanapiga kura!!
Mawakala ya CCM watakuwa ni wa kutoka eneo husika!! Hiyo ni advantage hata katika kupiga kura hasa litakapokuja swala la mtu kupiga kura mara ya pili katika vituo viwili vilivo karibu.
Lissu anakurupukaga, ofisi za IMMMA zilipolipuliwa alikuwa Raisi wa TLS akasema mawakili na wanasheria wote TZ wasiende kazini wagome,ilikuwa siku ya jumatano, alijikuta yeye mwenyewe tu walimpuuzia wote. Nasubiri tarehe 30 mwezi huu akiambulia 8% tu ya kura tuone mwisho wa mikwara yake ya kuingiza watu barabarani.Kuna mgombea mmoja anasema ataingiza watu barabarani. Ndugu zangu, hizo ni porojo tu. Watanzania wa sasa si wajinga kiasi hicho.
Hakuna Mtanzania atakayeacha shughuli zake na kwenda barabarani kwa ajili ya mtu mmoja.
Kichwa maji wewe na babu yako. AssholeKichwa maji wewe wataambiwa na vyama vyao na watapangwa na vyama vyao na watawasolisha orodha kwa msimamizi wa uchaguzi na wata apishwa siku saba kabla ya uchaguzi
Lumumba hawaelewagi kabisaKwanini mnawaza mawakala wenu watachelewa kufika kituoni?? Kwa nini wasiende wakalala huko huko?
Kwa lipi?Neki acheni upumbavu...mtaiingiza nchi katika machafuko..
Watu wamechoka mtaani.