Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)
Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji "Ni Muongo mimi sikutaka kugombea Urais narudia Mbowe ni Muongo" View attachment 3194110
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu ametangaza nia kuwania nafasi ya urais mwakani na kwamba chama chake kinajiandaa kupata ushindi wa kutosha dhidi ya Rais Samia Suluhu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye anatarajiwa kugombea kupitia chama hicho.
Akiongea na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo baada ya kurejea kutoka nje ya nchi alipokuwa kwa mapumziko mafupi baada ya ziara ya chama chake Kanda ya Kaskazini aliyoifanya sambamba na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Lissu alisema kwa sasa chama chake kinaandaa wagombea katika nafasi mbalimbali kwa ajili ya kushinda uchaguzi ujao.
“Nia yangu ya kugombea mwaka 2025 iko palepale nitaitikia wito Watanzania na nitaitikia wito wa chama changu” amesema Lissu.
Alipoulizwa kuhusu kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama chake amesema hana mpango huo na kukanusha uvumi wakuwepo mgogoro kati yake na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuhusu kuwania nafasi hiyo.
“Nimesema mara mia kwamba sigombei uenyekiti wa chama sasa huo mvutano unatoka wapi ni wa kutengenezwa tu na vyombo vya habari” amesema Lissu.
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi." View attachment 3194110
Mbowe muongo mno .Alidanganya kavamiwa na wasiojulikana,kumbe alidondoka kwa mchepuko wake Joyce yule mbunge wa viti maalum.Alipewa ubunge sababu ni chombo ya Mbowe.
SIo siri hawa wanasiasa wanatuchezea, sisi maboss wao wanatufanya kuwa vijakazi wao, hatuna cha kuwafanya zaidi ya kuwaonyesha boss ni nani; Je Tutafanyaje ? Box la Kura Ndio huenda wataiba lakini wote / wengi tukiwakataa watajua ukweli kwamba tumewachokan na huenda wakajirekebisha, ila...