Pre GE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

Pre GE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anasema ana mdomo mpana,

Wanaomshabikia kuna siku atawarudia..

Kama hata vikao vya sir anaropoka mpaka eneo walilofanyia.. imagine ni top boss wa CDM.....

Siasa za upinzani kuendesha chama sio kazi rahisi .

Kuendesha chama kwa kusema tu?

Tupo
Mwenyekiti ndo aliyeanza kutoa siri za ivyo vikao jamaa kamalizia
 
😂😂😂😂😂😂😂
Ila Lissu jamani huwa ananifurahisha anavyoongea


No wonder hata zile risasi alipigwa na chadema wenzake
Ila wakamtupia zigo baba wa watu.
Mm nakubali mbowe anamakundi ya kihalifu amwyatengeneza

Na kipindi cha magufuli alikuwa anashirikiana na.wabaya wa magufuli ndani ya ccm kumharibia
 
Back
Top Bottom