Uchaguzi 2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

Achana naye ni kipofu ana risasi
 
. Hata hiyo 16 hapati akipata ashukuru Sana cjafurahishwa na maneno yake ya uarabuni huku hawajui utu wanakugeuka sekunde
 
Mzee meko atakosa kura vijijini kwa sababu aliahidi atapeleka million 50 kila kijiji na wanazisubiri kawatapeli
 
Halafu anarudi mara mbili mbili Kanda ya Ziwa maana anajua huku hapati kitu. Hata atubembeleze vipi, sisi wa Kanda ya Ziwa kura tunampa Rais Magufuli!
 
Kampeni hazijaisha ww, acha mboyoyo mingi [emoji3166]
 
Mimi naishi kijijini na sihitaji Lissu aje huku kijijini kama kigezo cha kumpa kura yangu.Kura yangu ataipata vizuri sana,wala sihitaji kuiona sura yake huku
 
Tundu Lissu tayari kapita vijini ambavyo hakuja rais amewahi kufika tangu nchi ipate uhuru na huko kote habari ni Tundu Lissu tu.....
 
Tundu Lissu tayari kapita vijini ambavyo hakuja rais amewahi kufika tangu nchi ipate uhuru na huko kote habari ni Tundu Lissu tu....

Chadema msingi imesababishwa chama kiimarike na kipendwe hadi vijijini...
 
Umebaki mwenyewe na li ccm lako.
Mateso mliyowapa watz kwa kanuni zenu za kuongoza za miaka ya 60 kwenye ulimwengu wa Sasa.Njaa Ni kampeni tosha vijijini maana kila wakituomba pesa tunawambia kwani uoni makufuli
 
Tundu Lissu tayari kapita vijini ambavyo hakuja rais amewahi kufika tangu nchi ipate uhuru na huko kote habari ni Tundu Lissu tu.....

Chadema msingi imesababishwa chama kiimarike na kipendwe hadi vijijini...
Kapita na gari kwenye barabara nzuri alizojennga Magufuli hajaingia vijijii kwenye barabara za vumbi

Ni lami na yeye ,yeye na lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…