Uchaguzi 2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

pumbavu kabisa na uzi wako wa kizwazwa..ivi vijijini na mijini takwimu inasema wapi pana wakazi wengi?
 
Duuh!
 
Kwani yeye ana maslahi yeyote na Watu,wanyonge ambao w5t
 
pumbavu kabisa na uzi wako wa kizwazwa..ivi vijijini na mijini takwimu inasema wapi pana wakazi wengi?
Sensa nenda angalia takwimu za sensa za taifa ya watu national bureau of statistics they charge money to get any statistics you want kawalipe wakupe official statistics
 
CCM 80%
 
Sensa nenda angalia takwimu za sensa za taifa ya watu national bureau of statistics they charge money to get any statistics you want kawalipe wakupe official statistics
wewe si ulishawalipa na wakakupa either hard or softcopy? basi attach hapa nikoment
 
Msaliti wa Nchi Lissu hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji Tanzania hatutaki ushoga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…