Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

Anaweza kuwa anachelewa kulala. mimi pia kuna baadhi ya siku huwa naamka saa nne asubuhi, ila nililala saa saba usiku au saa nane. muda huo wote nafanya mambo ya maana usifikiri nimekaa kuangalia tv kama wengine.
 
Msikilize kwa makini ili uelewe. Acha "propaganda uzushi" bwashee zinazoweza kukanushwa Kwa sekunde moja tu.. Mnafeli wapi nyie chawa wa Samia na CCM???
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa wewe unadhani ma Rais wanaishi na ratibq kama yako Mkuu, ni wachache walikuwa wakiamka asubuhi sana mfano Saddam Hussein
 
Anasema ndio utaratibu wake, sio sababu ya ugonjwa
Ingekuwa wewe hata moja ya ugoko tu,huenda ndio ingekuwa tamati ya maisha,au ungekuwa kitandani 24*7.Vipi ukajilinganisha na aliyeweza kuponea nyingi zote zile na bado katika masaa 12 ya kazi anapoteza masaa 4 tuu.Hapoo huoni ukuu wa Mungu na lile funzo kubwa Mungu sio Athumani 🤔
 
Lissu ana mtaalamu wake wa dawa za kuzuia madhara ya risasi, Yuko hapo Geita
 
Rais anaenda kwa ratiba imeshaandaliwa ....huh Uzi hauna maana ....upuuzi
 
Rais anaenda kwa ratiba imeshaandaliwa ....huh Uzi hauna maana ....upuuzi
Ndio utajua hujui, vijijini tunaenda shamba saa 11 asubuhi halafu tumpigie kura mtu anayeamka saa saba mchana
 
Lissu ana mtaalamu wake wa dawa za kuzuia madhara ya risasi, Yuko hapo Geita
Hatuamini katika huo upuuzi,haamini katika huo upuuzi,huo unafanywa tu na wanachukua chako mapema 🤔
 
Ndio utajua hujui, vijijini tunaenda shamba saa 11 asubuhi halafu tumpigie kura mtu anayeamka saa saba mchana
Huo ndio uchawa unaokuja nao leo,tupe na uchawa wa kesho kabisa, 🤔
 
Nimeangalia video, acha hivi vi audio ulivyoedit
Ok. Let's assume kuwa, mimi nime - edit hiyo audio kitu ambacho siyo kweli..

Sasa hebu na wewe weka hiyo video ili uthibitishe hoja yako..

Ukishindwa, wewe utabaki kuwa mtu wa propaganda uzushi zisizoenda shule kabisa..
 
Halafu anaamka watu wamehesabu kura, anaanza kulia nimeibiwa kura
Ushindi wa mwana chukua chako mapema si wa magoli ya mkono katika mpira wa miguu,sasa hapo mmekariri kubwa ni kawaida yenu.Ila bado hamjajua kama sio kila siku ni juma mosi.🤔
 
Kwa hiyo kumbe ili wewe ukafanye kazi ni hadi uhimizwe au kushurutishwa?

Je, kama ni hadi uhimizwe, unataka uhimizwe kwa faida ya nani?

Haya sawa, tuseme Lissu awe anaamka mapema so what next?
Unataka aamke akakulimie shamba ule na familia yako? Acha uvivu na wivu.

Pea-brain!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…