Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe

My Take! Chama kama CCM ni chama mfu maana hakuna majadiliano ya kweli. Ila kwa vile Samia anagawa "ulaji" kila mmoja anaangalia midomo ya Samia inacheza vipi na kila mmoja anafuatisha humo humo, maana ukimpinga kesho huna "uwaziri" for that matter.

Mfano, chama chenye majadiliano, Bashite asingelipewa nafasi aliyo nayo.

Ni chama mfu vile vile kwavile kinatumia DOLA kubaki madarakani kama alivyosema Bashiru, former SG.

 
Back
Top Bottom