Unakariri maisha hata enzi za ukoloni walikuepo kina Mangi sina Kinjekitilewa vita vya majimaji ,chief mkwawa wakipambania Uhuru wa Tanganyika wakashindwa.Alipokuja Nyerere wakajisemea kama tuliwashinda kina mkwawa je sembuse nyerere kikawakutaMmh! Kwamba Lissu ni tishio kwa Magufuli hata awe akimtaja kwa jina wakati wa Campaigns?..
Saizi tumeamua mkuu tayari mtaani tunahamasishana lisu kura anapata na za kutosha ,ukweli Ni kwamba ccm watu wameichoka wananchi wanaugulia moyoni ndio maana saiz tumeamua hii Ni 2020 kura yangu nampa lisu magu nilimpa 2015 ila hajaitendea haki saiz inaenda chademaMmh! Kwamba Lissu ni tishio kwa Magufuli hata awe akimtaja kwa jina wakati wa Campaigns?
Sijui umri wako mleta mada; iwapo umefikisha 40s, basi, usiendelee kusumbua kichwa. Waliwahi pita akina Mrema, Lowasa. Hii ya huyu bwana mdogo Lissu mbona ni cha mtoto tu. Watanzania wana siasa wanazijua wenyewe...
Watu werevu hIshi na wakati, hawaishi kwa mazoea.Mmh! Kwamba Lissu ni tishio kwa Magufuli hata awe akimtaja kwa jina wakati wa Campaigns?
Sijui umri wako mleta mada; iwapo umefikisha 40s, basi, usiendelee kusumbua kichwa. Waliwahi pita akina Mrema, Lowasa. Hii ya huyu bwana mdogo Lissu mbona ni cha mtoto tu. Watanzania wana siasa wanazijua wenyewe. Watajaa kukusikiliza. Watasukuma hadi gari lako ati usimalize mafuta; kwenye kura sasa! Hapo ndiyo yanaanza, Nimeibiwa kura!
Lissu hawezi kumshinda Magufuli na kama bado huamini, subiri hiyo 28, Oktoba 2020.
Hivi maandamano aliyoitisha nchi nzima pale Zakiem Mbagala yanaanza lini?Usiteseke hilo limeshaeleweka singida ulikuwa among top region's alikoenda kuangukia wazazi wa mpinzani kwamba .... mwambieni mtoto wenu aniachie na ninyi nichagueni yeye nitampa ajira.... pengine nimekosea ku kuyarudia maneno ila sipo mbali.
Hilo kiroho ni kukubadili kuwa huyu siyo saizi yangu, sitamuweza, wazee nisaidieni.
Vijana wengi wana elimu gani?Hiki Ni kipindi tofauti kabisa na vipindi vingine vilivyopita.
Ni kipindi ambacho tunashuhudia mabadiliko makubwa ya teknolojia, kizazi kipya kimeibuka Cha vijana wengi wanaojitambua .
Chaguzi za nyuma kulikua na wimbi kubwa la watu wasioelewa Nini serikali inatakiwa kuwafanyia, wengi walikua wanarubuniwa kwa maneno na vijizawadi kidogo uchaguzi ukikaribia, na katika chaguzi hizo wapiga kura walikua Ni watu wazima ambao wengi hawakuelimika.
Kipindi hiki Kuna mwamko mkubwa Sana wa watu wanaojitambua kupiga kura, na hili tumeliona katika kura za maoni za chaka Cha mapinduzi ccm , hivyo Kuna watu wanatakiwa wajiandae kisaikolojia kwa chochote kitakachotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafurahi sana , Watz kwa umoja wetu tukimpa kura mamilion bwana Tundu Lisu ili awe rais wa Taifa hili.Mungu amesha amua kwa neno lake Tundu Lissu awe Rais was nchi hii.
Mwenge umezimwa, CCM imekufa, wanapoteana.
Ule Moshi wa kishetani wa kutupumbaza, mwaka huu utawapumbazeni CCM , polisi, TISS, na tume ya uchaguzi
Yaeleekea wewe akili yako kila siku inasoma LEO,Mmh! Kwamba Lissu ni tishio kwa Magufuli hata awe akimtaja kwa jina wakati wa Campaigns?
Sijui umri wako mleta mada; iwapo umefikisha 40s, basi, usiendelee kusumbua kichwa. Waliwahi pita akina Mrema, Lowasa. Hii ya huyu bwana mdogo Lissu mbona ni cha mtoto tu. Watanzania wana siasa wanazijua wenyewe. Watajaa kukusikiliza. Watasukuma hadi gari lako ati usimalize mafuta; kwenye kura sasa! Hapo ndiyo yanaanza, Nimeibiwa kura!
Lissu hawezi kumshinda Magufuli na kama bado huamini, subiri hiyo 28, Oktoba 2020.
Ulichokiandika hakina uhalisia wowote, nipo Singida mashariki piaNipo huku jimbo la Singida mashariki.
Lisu hakuna kitu huku,lisu huku ni kama dagaa tuu.
Una maana hata kwa jpm wanajaa tu lakini kura hawampi(?Mmh! Kwamba Lissu ni tishio kwa Magufuli hata awe akimtaja kwa jina wakati wa Campaigns?