Uchaguzi 2020 Lissu muulize mpinzani wako, ‘Jina lako ni nani?’

Hizo ndio hadithi zenu,Ila amini kwamba kuwe na Tume Huru hakika Magufuli kwa Lissu ni mwepesi zaidi ya tishu.
 
Mkuu nadhani kuna kitu umeamua tu kujifanya hukijui, lakini ukweli unaujua. Mrema alishinda, Seif alishinda Z'bar na hata EL mwaka 2015 alishinda. Kwa uchaguzi wa TZ na mfumo wa tume ya uchaguzi ulivyo, hata mimi sitegemei Lissu atangazwe mshindi hata akishinda. Anayetangaza mshindi wa uraisi ni tume, na akishatangaza hakuna sehemu yeyote unayoweza kwenda kupinga ushindi wake.

Hiyo ndiyo kasoro kubwa tuliyonayo kwenye mfumo wetu wa uchaguzi ngazi ya rais,kwamba matokeo ya urais yakishatangazwa na tume hayapingwi mahakamani. Nafurahi tu kwamba Lissu ameleta changamoto kwa JPM na amsha amsha, raia walikuwa kwa miaka 5 wanamsikiliza mtu mmoja tu, na akajiona kama kamaliza upinzani kumbe bado sana!
 
Bila bao la mkono na hila ccm walishashindwa tangu 1995 wakati wa Mrema.
 
Si kweli.
Kama Lissu hawezi shinda Uchaguzi kwanini tunaenda kwenye Uchaguzi?
 
Nipo huku jimbo la Singida mashariki. Lisu hakuna kitu huku, lissu huku ni kama dagaa tu.

Angalia video hii halafu angalia mwamko wa wananchi wanapoambiwa ‘CCM oyeee’ halafu niambie huyo mtu anakubalika kweli huko Singida.

[SUB][/SUB]
 
CCM tunanadi sera Hiyo Lisu Hataki ndani ya sera za CCM atajwe kama nani ninyi chadema msio na sera ndio mnamtaja sana Magufuli utafikiri Ndie sera yenu na ndie mliyemwandika kwenye sera yenu sisi Lisu hayumo kwenye sera zetu ndio maana hatumtaji
 
Leo Magufuli anafanya mkutano mjini shinyanga,cha ajabu nyumba za kulala wageni zimejaa zote,kama umewafuata wapiga kura kwenye eneo lao,hawa wageni wanaojaza nyumba za kulala wageni,wanatoka wapi? kama hujawasomva kwenye maloli kutoka kijijini ni nini?
 
Ulichokiandika hakina uhalisia wowote, nipo Singida mashariki pia
Nadhani itakuwa mashariki ulipo ww na mimi ni tofauti. Huyu mgombea kati ya majimbo yatakayomshangaza kwa kumpa kura robo moja wapo ni hili. Tangu nimefika hapa wanakijiji wanalalama tuu kwamba hakuna alichokifanya
 
Mzee wa intaprinyua akitaja jina la Lissu au akikubali kukutana kwenye mdahalo na Lissu nitapiga punyeto posta kwenye mnara wa askari posta
 
Unakosea Sana kijana wangu, nadhani hukuwahi na hujawahi kufahamu, Lowasa alishinda Ila kutokana na kutokujua no kwa nini umebaki kuandika vitu Kama hivi...
Mmh! Kwamba Lissu ni tishio kwa Magufuli..

Watanzania wana siasa wanazijua wenyewe. Watajaa kukusikiliza. Watasukuma hadi gari lako ati usimalize mafuta; kwenye kura sasa! Hapo ndiyo yanaanza, Nimeibiwa kura!
 
Unakariri maisha hata enzi za ukoloni walikuepo kina Mangi sina Kinjekitilewa vita vya majimaji ,chief mkwawa wakipambania Uhuru wa Tanganyika wakashindwa.Alipokuja Nyerere wakajisemea kama tuliwashinda kina mkwawa je sembuse nyerere kikawakuta
Ina maana hujui kuwa Nyerere alikuta chakula kikiwa tayari mezani?
 
Usiganganyike ndugu. Watu tulazimishwa na waajiri kwenda kwenye mikutano wa CCM ya kampeini. Hujasoma barua ya mkuu wa chuo hapa Dom akisema kuwa wafanyakazi wasiohudhuria watachukuliwa hatua za kinidhamu?

Barua hiyo ilikuwa hapa JF. Usiseme wingi wa watu katika mikutani ya CCM ni kukubalika kwa mgombea wa CCM. Watoto pia wanataka kumwona Rais ambaye wamekuwa wakimsikia kwenye radio na TV. Ni kawaida sana hiyo.
Angalia video hii niambie huyo mtu anakubalika kweli huko Singida.

[SUB][/SUB]
 
What's my name Mr. President?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…