Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho
Lisu ni kama Daudi, ana ujasiri wa kipekee sanaa! Na anaonekana ana imani kubwa sanaa iliyokita mizizi pengine tangu akiwa chaliiMwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho
Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
Mbowe ni hatari kwa siasa za kidemokrasia nchiniMwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho
Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
Wenje kaiua kabisa Chadema 🐼
We uonavyo mpango wao ni kuchukua nchi mwaka huu?Ni hatari sana kwa chama kama Hiki kuchukua nchi ....tuhakikishe tunairudisha CCM madarakani mwaka huu 🐼
Dalali yule akilewa ndio utamjua..Wenje kaiua kabisa Chadema 🐼
Hawajawahi kuwa tayari kuichukua nchiWe uonavyo mpango wao ni kuchukua nchi mwaka huu?