Pre GE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.

Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================

Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho

Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Lisu ni kama Daudi, ana ujasiri wa kipekee sanaa! Na anaonekana ana imani kubwa sanaa iliyokita mizizi pengine tangu akiwa chalii
 
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho

Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mbowe ni hatari kwa siasa za kidemokrasia nchini
 
Aisee na risasi zate ulipgwa ukikipgania chama jamaa anaona hufai akupumzishe kimafia.. means amebaini Kuna mahala unamfelisha kwenye deal zake yani anakuset kwenye mfumo wake unapwaya kuigia solution akuweke kando
 
Ni hatari sana kwa chama kama Hiki kuchukua nchi ....tuhakikishe tunairudisha CCM madarakani mwaka huu 🐼
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Huku mwaka mpaka tufike robo yake, tutakuwa tumeona/kusikia mitikisiko mingi!😃
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Mbowe akigombania Uraisi wa Jamhuri hii mimi kura yangu hapati, huyu Mbowe tukimuingiza Ikulu atang'ang'ania nani atamtoa?, na anaweza kubadili katiba ili azikiwe kwenye bustani za Ikulu, sote tulishuhudia jinsi Wazimbabwe walivyohangaika na Mugabe.
Mugabe-sleeping.jpg
 
Back
Top Bottom