Pre GE2025 Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli, dhihaka na dharau za kuchangiwa na CCM

Pre GE2025 Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli, dhihaka na dharau za kuchangiwa na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chief, USD 500,000?! Huu ni utajiri wa athletes US! Ukiibadilisha hii kwenda TZS ni balaa, 1,355,500,000! Huyu kiazi ni wa kulipwa hii chapaa
Hana thamani ya Usd 500k huyo, ni Tshs 500k
 
Hana thamani ya Usd 500k huyo, ni Tshs 500k
Wamegundua kuwa hana thamani hiyo baada ya kuwa tayari wameshampa na hajaleta watu wala hajawapa vital information kama walivyodhani ndiyo maana anatumia nguvu kubwa kumshambulia Mbowe na kurudia mambo ambayo siyo mageni tena . Ilikuwa kamari . Na hiyo hela haikutoka CCM.
 
Mh. Salum Turki mbunge wa Mpendae alilipa US$28K kwa kampuni ya Kenya kuleta ndege ya jet ambayo ni ambulance kwa minajiri ya kurejeshewa hela yake na CDM na ndipo LISSU akasafirishwa lakini cha kushangaza mbunge huyu alipelekewa ankara ya more than 200 bilion ya malimbikizo ya kodi na akati alikuwa hadaiwi chochote akapata stroke hakuamka kumbe aliyekula nyundo hakupenda LISSU kusaidiwa hata hivyo hilo jimbo alipewa kijana wake kama kifuta machozi kama ilivyokuwa kwa Mgomea.
 
Chukua pesa hizo , kwanza nao wanazichota serikalini
 
Nampongeza sana katibu mkuu kwa wema wake kwa Lissu aliyetelekezwa na Mbowe.
 
Mungu anasema,"Watoto wangu wanalala njaa kwa sababu wewe unaona haya kupokea msaada?"
 
Lakini kwasababu hizo Fedha ni Kodi zetu mnaonaje tumpe ruhusa Lissu azikombe?!
 
Back
Top Bottom