Lissu na Hayati Magufuli nani mzalendo wa kweli?

kunowa

Member
Joined
Oct 30, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Lissu na kundi lake wakati wa Korona walifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown. Hivi aliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga, kwamba kula yao ni lazima watoke? Magufuli alijua aina ya maisha ya watu wake na mbinu gani aitumie. Kwa muda ule, Lissu angekuwa ndiye rais, angewaua wananchi wengi ama kwa njaa au kwa risasi maana angelazimisha kutekeleza lockdown ambayo wananchi wangeigomea. Kwangu, Magufuli kufa kwa Korona kama mnavyodai, mimi naona anathibitisha ushujaa wake wa mwanajeshi kufia vitani.

Magufuli was a hero, Lissu is just a traitor. Tunapambania kurudisha migodi mikononi mwa Watanzania, Lissu anakuwa upande wa maadui kuwapa mbinu ya kukamata madege yetu. Huo ni usaliti na alistahili kifo. He is just a puppet. Tunaanzisha mradi mkubwa wa umeme kule Rufiji, yeye anakuwa wa kwanza kuukataa kisa mazingira. Nataka nikukumbushe, Lissu, ili kuwe na economic development lazima kuwe na economic growth. Economic growth inakuwa na environmental negative impacts.

Wakati wa mkataba wa mazingira wa Kyoto, kama sitakosea, juu ya athari za viwanda kwenye mazingira, nchi za Magharibi zilikataa kuacha uzalishaji wa viwanda wakisema kwa wakati huo economic growth ilikuwa ni muhimu ukilinganisha na umuhimu wa kutunza mazingira. Na kwa maneno mengine ni kuwa kama kuharibu mazingira ilikuwa ndiyo njia pekee ya kufikia maisha mazuri kwa watu wao basi ilikuwa ni lazima yaharibiwe. Magufuli aliliona na kulijua hilo. Huyu alikuwa shujaa.

Tungekuwa na Magufuli kwa muda mrefu, najua tungechoka njaa ya muda, lakini baadaye tungepata shibe ya muda mrefu. Vikwazo vya Magharibi vingekuwepo, lakini vingekuwa ni fursa ya maendeleo kwetu kama ilivyo kwa Iran na mataifa mengine. Lissu hawezi kuwa mzalendo, ila ni puppet. Unaona anavyowaza western solutions to African problems.

Lissu hakustahili kuishi kabisa. Aliyekabidhiwa ile mission, kama ni kweli, naye ni msaliti na alitakiwa afe wa kwanza. Tanzania kwanza! Tunahitaji kiongozi atakayetoa suluhisho la Kitanzania kwa matatizo ya Watanzania.
 
Kwanini tusilinganishe Lisu na Samia?
 
Mkuu with all due respect tunajua adui mwenye nguvu unaanza kumtumia cannon fodder baadae ndio unatuma special/elite forces.Sasa kawaambia waliokutuma wew ni canon fodder!Tunataka elites forces kutoka jikoni.Wew na debe tupu Wassira walaa sio size ya hii speed!!
 
Ni matusi kumlinganisha Lisu na Magufuli,Yani umlinganishe Raisi na Makamu mwenyekiti ambae alikuwa hajui hata ofisi ya mwenyekiti wake ipo wapi
 
 
Kile kiti huwa kinafanya mtu ujimwambafai.

Kama Lissu angepata nafasi ya kukikalia kwa angalau miaka 5, hapo ndipo ningeweza kulinganisha kuhusu Uzalendo wao
 
Mtafungua Sana ID's mpyaa mtaanzisha propaganda....hizi story ulizo leta hapa kwa GREAT THINKER TAFUTA WATOTO WENZIO MKASIMULIANE/ MKACHEZEE πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kumsifia marehemu aliyekufa kifara kwa kujifukiza ni ufala
 
Sukuma gang wameamua kua upande wa lissu kwa sababu hawana Cha kupoteza, maana Wana makasiriko na uongozi wa dk Samia toka jpm atangulie mbele ya haki.
Yaan wao wamefurahi lissu kushinda kwa sababu wanategemea ataisumbua serikali ya mama Samia.
Na hio ndio furaha yao serikali ikisumbuliwa.
 
Umeandika bonge la BS
 
Wote ni wazalendo ila kila mmoja aliamini mwenzake adui wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…