Lissu na Hayati Magufuli nani mzalendo wa kweli?

Mkuu ni swali umeuliza au
 
Magu alikuwa na kaushamba ivi ka madaraka.
Magu si mtu wa demokrasia anachoamini yeye ndiyo hicho hicho lazima wote mkikubali ukigoma anakuwashia moto.
 
Wewe uliyeandika haya unauzalendo gani wa nchi?
Umeisaidia nini nchi?
Uzalendo ni kumpiga risasi ili afe?

Basi yeye hakufa na waliopanga misheni ya kumuua wengine wamekufa na yeye bado yupo hai kwasababu Mungu hakutaka yeye afe.

Nje ya uongozi huyo Magufuli aliwasaidia nini wananchi?
 
Kheri Mbwa aliye hai kusiko Simba mfu.

Mzalendo ni mwenye kutaka Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote.

Kwa Sasa Lissu ndiye mzalendo, hataki RUSHWA, mwenye msimamo, mchapakazi, visionary nk

Tunakwenda na Lissu.
 
Wote wapo same level, unfortunately nature iliamua tofauti
 
Mimi nilitamani sana hawa watu wawili washirikiane lakini badala yake akaamua kuhasimiana hadi kuumizana. Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa nchi hii kwa sababu atapata uungwaji mkono zaidi kutoka kwa wafuasi wa Magufuli na wale ambao kwa miaka mingi walijitenga na mambo ya siasa.
 
Lissu sio kariba ya kulinganishwa na the late JMP. Halafu what kinda comparison enye mzima na mmauti!

Compare chairman kwa chairperson wenye wako kwa mbungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…