sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.