sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Gari imekata moto mapema. Baada ya sherehe zao za kumuondoa Mbowe hawajui wafanye niniSherehe ni baada ya ghiliba kufanikiwa..
Sasa kuliendesha gari halina mafuta ndio kipengele...