sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Waluomchua soka wanafahamika kawaambie wamwachie huko walikomfichaTunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
nasisitiza hii sentensi... mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
wewe umefanya nn?Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
Tunafurahi kweli kweli. 20yrs and nothing to show for it in the 2025LGE?Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Umesahahu na mapochopocho mengine bana, hukualikwa?Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Haki yakeLissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Uliona wapi ama kusikia wapi Waheshimiwa wa Chama chetu ni Polisi ama Usalama wa Taifa? Unataka bafanyeje?Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa
kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
Soka kashikiliwa na Jeshi la Polisi, siyo Lissu wala Heche!!Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
LISU HAMNA KITU NI ROPOROPO AND CHADEMA IS GOING TO DIE A NATURAL DEATH, A THING I WOULD NOT LIKE TO HAPPENTunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
Hana jipya Lissu na team yake.LISU HAMNA KITU NI ROPOROPO AND CHADEMA IS GOING TO DIE A NATURAL DEATH, A THING I WOULD NOT LIKE TO HAPPEN
Walisema Mbowe hafanyi lolote hawakujua Soka kashikiliwa na polisi?Soka kashikiliwa na Jeshi la Polisi, siyo Lissu wala Heche!!
Unafikiri Kwa kutumia makalio
Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani.
Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa.
Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa mwenyekiti Mbowe.
Lakini mjue mpaka leo Soka hajapatikana uko kanda ya ziwa kwa kina Heche dogo wa bavicha ametekwa mlisema watu wanaotekwa Mbowe yupo kimya. Nyinyi mnafanya sherehe.
Michango ya gari haijulikani imeenda wapi hakuna feedback wanatangaza michango mingineRuzuku inakata uchaguzi ukianza Mwenyekiti hajui fedha za kuendesha chama atapata wapi akidhani labda ahadi hewa ya diaspora ya bil moja itapatikana.
Hata Ile million 30 aliyotakiwa kuchangisha kwa akili ya uchaguzi bado hajawasilisha.😡
Kwa hiyo wakati mnamtukana Mbowe kuwa hafanyi lolote mlijua Mbowe ni chombo cha dola?Hilo ni jukumu la vyombo vya dola kuhakikisha waliotekwa na kupotea wanapatikan
Lissu alikuwa anatembelea nyota ya Mbowe kwenye kampeni.Hakuna viongozi hapo,wakiongea nusu saa watu wameshasahau kwamba Lisu kaongea,Mbowe alikuwa akiongea hata Bungeni wanahaha kumjibu pamoja na kwamba hayupo Bungeni.Uongozi ni kipaji.Sasa wanafanya sherehe wanasahau kazi bado!!.
Inaumiza sana hii. Wote waliohusika na tukio la Soka kupotea Mungu awalaani na vizazi vyao.mbona soka alishakata mawasiliano na dunia kitambo