Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

Labda na wenyewe wanaaga, unadhani kazi iliyombele yao mchezo?! Patakufa mtu nakwambia
 
Mimi nawakumbusha team Lissu waliokuwa wanasema Mbowe kakaa kimya hafanyi kitu sasa chama wanacho wao wachukue hatua
Chama kinajifia mzee...

Sasa kina Hilda Newton ndio watamshawish nani?

Jamaa kazungukwa na failure watupu..
 
Mnapokua mnaandika hua akili mmeziweka wapi Mkuu?? Hivi mtoto wa kiume kabisa unashika simu yako au keyboard unaandika mambo ya kike hivi, majungu majungu majungu...

Grow Up Buddy!!!
 
Mimi nawakumbusha team Lissu waliokuwa wanasema Mbowe kakaa kimya hafanyi kitu sasa chama wanacho wao wachukue hatua
kwaiyo unawapangia agenda na vipau mbele sio? wewe fanya ya upande wako sababu hata ukiitwa uandamane kudai haki ya kuishi hutaweza kujitokeza
 
Hana hela ya kufanya mission yoyote
 
Ni ushauri mwema, kwa sasa heche na lissu wasilale, mguu kwa mguu nchi nzima iwe bara na visiwani, pia nje ya nchi mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…