Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

Halafu unatakiwa uwashukuru sana Mods kwa kuufuta ule uzi wako wa kipuuzi. Maana ulikufanya wewe na uvccm wote nchini muonekane ni hamnazo.
kuna mahali uzi wangu umefutwa?🀣

kwenye platform gani, maana mambo ni mengi aise. ulikua unahusu nini?

hata hivyo,
kama kulikua na dosari au kasoro ya kimaudhui au kimaadili nadhani itakua wanafanya wajibu wao vyema, umeumia?
pole kwa usumbufu na samahani sana moods ikiwa kuna kanuni nimeghafilika nayo kwenye andiko hilo huyu mdau analozungumzia...

eehe vip,
nini maoni yako sasa kwenye hoja hiyo hapo mezani kisiasa?

relax tu ukijieleza πŸ’
 
CHADEMA ife tu na kusambaratika kama kioo kilichopigwa pasuka. Kwa sababu haiwezekani chama kazi yake imekuwa ni kupinga kila kitu na kila jambo linalofanywa na serikali pasipo hoja za msingi.
nimewapa ushauri wa kitaalamu mapema, vinginevyo inakwenda kuyeyuka zaidi ya cck tunapoelekea uchaguzi
 
Yani umepewa like moja na lucas msambwanda ..na bado hamjasema mziki wa 2025 mtakimbia na mabox ya kura
ukweli haujawahi pendeka duniani, unachukiwa sana kwasababu hua unauma sana moyoni na halafu ni mchungu zaidi ya shubiri na sifongo..

na bado huo ni kidogo tu πŸ’
 
Mbowe ukimgusia kuachia nafasi apishe nguvu mpya ananuna na ukimpigia simu hapokei
mgusie na Lisu basi kuhusu kuachia nafasi apishe pumzi na fikra mpya tuone kama atanuna au la, na je atapokea cmπŸ’
 
Huu utoto ulioongea hapa ndio utaalamu?!
umeshindwa kuja na hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mezani then unasema utoto?🀣

kufilisika au kufikia ukomo wa fikra mbadala ni fedheha sana aise, pole πŸ’
 
umeshindwa kuja na hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mezani then unasema utoto?🀣

kufilisika au kufikia ukomo wa fikra mbadala ni fedheha sana aise, pole πŸ’
Kuna hoja gani ya kujadili hapo zaidi ya ushambenga? Utakuja kupakatwa ww.
 
Abanduke mama Yako kwanza tuone nini kitatokea
 
πŸ‘ πŸ‘πŸ‘ Wewe mkuu ni character kweli kweli. Majuzi ulijinasibu kuwa mkufunzi wa KIU uliyemfundisha (supervise) mwanafunzi mmoja wa doctorate ambaye ni mdau hapa JF. Ulimuita kilaza tu!

Leo wewe ni mchambuzi wa mustakabali wa CHADEMA huku wakati huo huo ukitumia muda mwingi kuendeleza mashairi ya sifa na utukufu kwa SSH na CCM yake. Mizaha kibao, kima kwa wingi na kiingereza cha kubabia. Quite a character!

Kila la heri katika hiyo misheni ya mauza uza. Una kipaji!
 
Hovyo!!!
 
Mchochezi ww
 
I hope ndio wewe, right ? hivi bado upo kisarawe?🀣

sasa,
hata hivyo,
hayo si tulimalizana kule siku hiyo, unaleta tena kwenye hoja muhimu na ya maana kama hii, gentleman?πŸ’

hapa unatakiwa ku ama construct or deconstruct the theory on the flow sio kujificha kwenye conclusion yenye lawama πŸ’
 
Kuna hoja gani ya kujadili hapo zaidi ya ushambenga? Utakuja kupakatwa ww.
umeanza mazoezi ya kuyaporomosha 🀣

kwenye mambo mazito ya kisiasa kama haya, msiwe mnavamia kichwa kichwa mtapasuka mioyo πŸ’
 
Quite a character! Hawa CCM wamekutoa wapi mkuu? πŸ€”
 
Quite a character! Hawa CCM wamekutoa wapi mkuu? πŸ€”
naona umekwama kabisaa, mwenyekiti unamtaka Makamu mwenyekiti pia unamtaka, dah 🀣

utapasuka!!πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…