Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

Halafu unatakiwa uwashukuru sana Mods kwa kuufuta ule uzi wako wa kipuuzi. Maana ulikufanya wewe na uvccm wote nchini muonekane ni hamnazo.
kuna mahali uzi wangu umefutwa?🤣

kwenye platform gani, maana mambo ni mengi aise. ulikua unahusu nini?

hata hivyo,
kama kulikua na dosari au kasoro ya kimaudhui au kimaadili nadhani itakua wanafanya wajibu wao vyema, umeumia?
pole kwa usumbufu na samahani sana moods ikiwa kuna kanuni nimeghafilika nayo kwenye andiko hilo huyu mdau analozungumzia...

eehe vip,
nini maoni yako sasa kwenye hoja hiyo hapo mezani kisiasa?

relax tu ukijieleza 🐒
 
CHADEMA ife tu na kusambaratika kama kioo kilichopigwa pasuka. Kwa sababu haiwezekani chama kazi yake imekuwa ni kupinga kila kitu na kila jambo linalofanywa na serikali pasipo hoja za msingi.
nimewapa ushauri wa kitaalamu mapema, vinginevyo inakwenda kuyeyuka zaidi ya cck tunapoelekea uchaguzi
 
Yani umepewa like moja na lucas msambwanda ..na bado hamjasema mziki wa 2025 mtakimbia na mabox ya kura
ukweli haujawahi pendeka duniani, unachukiwa sana kwasababu hua unauma sana moyoni na halafu ni mchungu zaidi ya shubiri na sifongo..

na bado huo ni kidogo tu 🐒
 
Mbowe ukimgusia kuachia nafasi apishe nguvu mpya ananuna na ukimpigia simu hapokei
mgusie na Lisu basi kuhusu kuachia nafasi apishe pumzi na fikra mpya tuone kama atanuna au la, na je atapokea cm🐒
 
Huu utoto ulioongea hapa ndio utaalamu?!
umeshindwa kuja na hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mezani then unasema utoto?🤣

kufilisika au kufikia ukomo wa fikra mbadala ni fedheha sana aise, pole 🐒
 
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.

Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.

Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.

Soma Pia:

Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.

Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni,
bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.

CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.

Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.

unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho? :pulpTRAVOLTA:

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Abanduke mama Yako kwanza tuone nini kitatokea
 
👏 👏👏 Wewe mkuu ni character kweli kweli. Majuzi ulijinasibu kuwa mkufunzi wa KIU uliyemfundisha (supervise) mwanafunzi mmoja wa doctorate ambaye ni mdau hapa JF. Ulimuita kilaza tu!

Leo wewe ni mchambuzi wa mustakabali wa CHADEMA huku wakati huo huo ukitumia muda mwingi kuendeleza mashairi ya sifa na utukufu kwa SSH na CCM yake. Mizaha kibao, kima kwa wingi na kiingereza cha kubabia. Quite a character!

Kila la heri katika hiyo misheni ya mauza uza. Una kipaji!
 
Hovyo!!!
 
Mchochezi ww
 
I hope ndio wewe, right ? hivi bado upo kisarawe?🤣

sasa,
hata hivyo,
hayo si tulimalizana kule siku hiyo, unaleta tena kwenye hoja muhimu na ya maana kama hii, gentleman?🐒

hapa unatakiwa ku ama construct or deconstruct the theory on the flow sio kujificha kwenye conclusion yenye lawama 🐒
 
Kuna hoja gani ya kujadili hapo zaidi ya ushambenga? Utakuja kupakatwa ww.
umeanza mazoezi ya kuyaporomosha 🤣

kwenye mambo mazito ya kisiasa kama haya, msiwe mnavamia kichwa kichwa mtapasuka mioyo 🐒
 
I hope ndio wewe, right ? hivi bado upo kisarawe?🤣

sasa,
hata hivyo,
hayo si tulimalizana kule siku hiyo, unaleta tena kwenye hoja muhimu na ya maana kama hii, gentleman?🐒

hapa unatakiwa ku ama construct or deconstruct the theory on the flow sio kujificha kwenye conclusion yenye lawama 🐒
Quite a character! Hawa CCM wamekutoa wapi mkuu? 🤔
 
naona umekwama kabisaa, mwenyekiti unamtaka Makamu mwenyekiti pia unamtaka, dah 🤣

utapasuka!!🐒
 
Back
Top Bottom