Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mahali uzi wangu umefutwa?🤣Halafu unatakiwa uwashukuru sana Mods kwa kuufuta ule uzi wako wa kipuuzi. Maana ulikufanya wewe na uvccm wote nchini muonekane ni hamnazo.
nimewapa ushauri wa kitaalamu mapema, vinginevyo inakwenda kuyeyuka zaidi ya cck tunapoelekea uchaguziCHADEMA ife tu na kusambaratika kama kioo kilichopigwa pasuka. Kwa sababu haiwezekani chama kazi yake imekuwa ni kupinga kila kitu na kila jambo linalofanywa na serikali pasipo hoja za msingi.
ukweli haujawahi pendeka duniani, unachukiwa sana kwasababu hua unauma sana moyoni na halafu ni mchungu zaidi ya shubiri na sifongo..Yani umepewa like moja na lucas msambwanda ..na bado hamjasema mziki wa 2025 mtakimbia na mabox ya kura
Huu utoto ulioongea hapa ndio utaalamu?!ukweli unakuumiza gentleman?🤣
hii siasa haitaki mihemko, wataalamu hatubahatishagi kamanda 🐒
Kuna hoja gani ya kujadili hapo zaidi ya ushambenga? Utakuja kupakatwa ww.umeshindwa kuja na hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mezani then unasema utoto?🤣
kufilisika au kufikia ukomo wa fikra mbadala ni fedheha sana aise, pole 🐒
Abanduke mama Yako kwanza tuone nini kitatokeaCHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni,
bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
👏 👏👏 Wewe mkuu ni character kweli kweli. Majuzi ulijinasibu kuwa mkufunzi wa KIU uliyemfundisha (supervise) mwanafunzi mmoja wa doctorate ambaye ni mdau hapa JF. Ulimuita kilaza tu!CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni,
bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hovyo!!!CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni,
bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mchochezi wwCHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni,
bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
I hope ndio wewe, right ? hivi bado upo kisarawe?🤣👏 👏👏 Wewe mkuu ni character kweli kweli. Majuzi ulijinasibu kuwa mkufunzi wa KIU uliyemfundisha (supervise) mwanafunzi mmoja wa doctorate ambaye ni mdau hapa JF. Ulimuita kilaza tu!
Leo wewe ni mchambuzi wa mustakabali wa CHADEMA huku wakati huo huo ukitumia muda mwingi kuendeleza mashairi ya sifa na utukufu kwa SSH na CCM yake. Mizaha kibao, kima kwa wingi na kiingereza cha kubabia. Quite a character!
Kila la heri katika hiyo misheni ya mauza uza. Una kipaji!
Quite a character! Hawa CCM wamekutoa wapi mkuu? 🤔I hope ndio wewe, right ? hivi bado upo kisarawe?🤣
sasa,
hata hivyo,
hayo si tulimalizana kule siku hiyo, unaleta tena kwenye hoja muhimu na ya maana kama hii, gentleman?🐒
hapa unatakiwa ku ama construct or deconstruct the theory on the flow sio kujificha kwenye conclusion yenye lawama 🐒