Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

Sio kila mabadiliko ni mazuri. Mbowe Lissu daima!
hoja yako ina mashiko lakini ni muhimu zaidi kwenda sambamba na majira tuliyopo na kujifunza kusoma na kuzingati alama za nyakati kwa ustadi mwingi kuepuka fedhaha baadae πŸ’
 
hoja yako ina mashiko lakini ni muhimu zaidi kwenda sambamba na majira tuliyopo na kujifunza kusoma na kuzingati alama za nyakati kwa ustadi mwingi kuepuka fedhaha baadae πŸ’
Wanaotaka Mbowe na Lissu waondoke ni wale wasioitakia mema Chadema, in fact hawa ni CCM.
 
Mstakabali wa Chadema kama wa CCM wa baadaye.
 
Wanaotaka Mbowe na Lissu waondoke ni wale wasioitakia mema Chadema, in fact hawa ni CCM.
kitaalamu hiyo inaitwa kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala, yaani dormant thinking πŸ’
 
ukweli unakuumiza gentleman?🀣

hii siasa haitaki mihemko, wataalamu hatubahatishagi kamanda πŸ’
Kwa hili wewe na wenzio mmechemka sana. Tengeneza Kwa kwanza CCM kama substitution yenu ni akina Msigwa mnaimba mna Imani nao si mmechoka kwelikwell?
 
mimi nimeona nilichokiandika gentleman πŸ’
Kwakweli kama kubaki akina Mbowe na Lisu ndo faida Kwa CCM si muwaache muendelee kupeta? Gap Hilo au vipi? Si muache ili muendelee kutamba? Na akihamia CCM si mtaimba tena tuna Imani na Mbowe iyo iyo iyoooo au?
 
kitaalamu hiyo sio issue, ya muhimu zaidi ni changes zitakazoleta uhai, pumzi mpya, hamasa, nguvu na ari mpya ya chama hicho katika kuchochea uwajibikaji na mageuzi katika utendaji wa serikali tawala πŸ’

kama mivutano na migawanyiko ya ndani ya chama hicho ina faida basi nadhani ihamasishwe zaidi ili chama kimeguke zaidi kwa maslahi binafsi ya wanao kimega πŸ’
 
Kwa hili wewe na wenzio mmechemka sana. Tengeneza Kwa kwanza CCM kama substitution yenu ni akina Msigwa mnaimba mna Imani nao si mmechoka kwelikwell?
binafsi sijawahi kuchemka na siwez kosea target, kwasabb ni mtaalamu na mbobevu katika siasa na diplomasia....

nafanya tafiti na kujiridhisha kabla sijashauri au kuandika bandiko...

na huwa siandiki uongozi wala kushauri ubwela ubaya, ni facts tu...

ukikubali ama kukataa ni Juu yako, mimi nimeshatekeleza wajibu wangu kwa maendeleo ya demokrasia nchini, hakana haja kunishukuru wala kunikumbuka likitokea la kutokea πŸ’
 
Haachii leo Wala kesho. Na hatutaki aachie. Mbinu zenu tulishazigundua toka zamani mtahangaika sana na vijithread vyenu mnajaza tu nafasi.
ilimradi historia ya maafa isijirudie tu nyakati za chaguzi za ndani πŸ’
 
Wanamtumia jamaa kama kibaraka wao tu, politics is more than a mind game and only fools (mostly - wananchi wasiojitambua) fall for it.
 
mla mlungula wa mabwenyenye ya magharibi, je tunaweza muitaje au kwasabb ni dollar hiyo hainashida πŸ’
Mbowe ni msanii tu kama Steve Nyerere (MΕΌΔ™ wa kula ruzuku a.k.a. rambirambi za waΕ›anii wenziwe).
 
CCM ingetolewa madarakani matatizo mengi sugu ya hii nchi yangefikia mwisho.
 
CCM ingetolewa madarakani matatizo mengi sugu ya hii nchi yangefikia mwisho.
kwasababu ya mipango yao madhubuti hilo limeshindikana kutokea kipindi kilichopita na hakuna kabisa dalili wala kitisho cha hilo kuwezekana kutokea kipibdi kihacho, huenda baada ya karne nyingi sana zijazo kupita
 
Nadhani mwandishi anamaanisha kuwa lissu na mbowe wakiondoka CHADEMA ITASAMBARATIKA

Kwamba ni machozi ya mamba mla watu kamwona mtu anakaribia kuvuka mto?

Kwamba hayo mahaba niue ni kutokea CCM?
 
Waliikuta ikiwa Imara sana Tundu Lisu akitokea NCCR Mageuzi na Freeman Mbowe akitokea CCM πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ndiyo maana CCM kinara akatambua Huko CDM Leo na Simba wamo?

Si kuwa huko kwenu mmejazana yenye Mpox?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…