Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaotaka Mbowe na Lissu waondoke ni wale wasioitakia mema Chadema, in fact hawa ni CCM.hoja yako ina mashiko lakini ni muhimu zaidi kwenda sambamba na majira tuliyopo na kujifunza kusoma na kuzingati alama za nyakati kwa ustadi mwingi kuepuka fedhaha baadae 🐒
Mstakabali wa Chadema kama wa CCM wa baadaye.CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Haachii leo Wala kesho. Na hatutaki aachie. Mbinu zenu tulishazigundua toka zamani mtahangaika sana na vijithread vyenu mnajaza tu nafasi.Mbowe akiachia uenyekiti ndo at least taona CDM ina nia kwel
Kwa hili wewe na wenzio mmechemka sana. Tengeneza Kwa kwanza CCM kama substitution yenu ni akina Msigwa mnaimba mna Imani nao si mmechoka kwelikwell?ukweli unakuumiza gentleman?🤣
hii siasa haitaki mihemko, wataalamu hatubahatishagi kamanda 🐒
Kwakweli kama kubaki akina Mbowe na Lisu ndo faida Kwa CCM si muwaache muendelee kupeta? Gap Hilo au vipi? Si muache ili muendelee kutamba? Na akihamia CCM si mtaimba tena tuna Imani na Mbowe iyo iyo iyoooo au?mimi nimeona nilichokiandika gentleman 🐒
kitaalamu hiyo sio issue, ya muhimu zaidi ni changes zitakazoleta uhai, pumzi mpya, hamasa, nguvu na ari mpya ya chama hicho katika kuchochea uwajibikaji na mageuzi katika utendaji wa serikali tawala 🐒Kwakweli kama kubaki akina Mbowe na Lisu ndo faida Kwa CCM si muwaache muendelee kupeta? Gap Hilo au vipi? Si muache ili muendelee kutamba? Na akihamia CCM si mtaimba tena tuna Imani na Mbowe iyo iyo iyoooo au?
binafsi sijawahi kuchemka na siwez kosea target, kwasabb ni mtaalamu na mbobevu katika siasa na diplomasia....Kwa hili wewe na wenzio mmechemka sana. Tengeneza Kwa kwanza CCM kama substitution yenu ni akina Msigwa mnaimba mna Imani nao si mmechoka kwelikwell?
Wanamtumia jamaa kama kibaraka wao tu, politics is more than a mind game and only fools (mostly - wananchi wasiojitambua) fall for it.Ruzuku inayotolewa kwa Chadema ni hela ya umma serikali ya ccm ndio yenye dhamana ya kusimamia hela hizo . Unamaanisha serikali imemuogopa huyo Mbowe mpaka anatumia hela za chama kwa matumizi binafsi na CAG ambaye ni mteule wa mwenyekiti wa ccm ameshindwa kutoa pendekezo serikalini ya kumchukulia hatua kwa sababu ya ubadhirifu huo!
Mbowe ni msanii tu kama Steve Nyerere (Mżę wa kula ruzuku a.k.a. rambirambi za waśanii wenziwe).mla mlungula wa mabwenyenye ya magharibi, je tunaweza muitaje au kwasabb ni dollar hiyo hainashida 🐒
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
kwasababu ya mipango yao madhubuti hilo limeshindikana kutokea kipindi kilichopita na hakuna kabisa dalili wala kitisho cha hilo kuwezekana kutokea kipibdi kihacho, huenda baada ya karne nyingi sana zijazo kupitaCCM ingetolewa madarakani matatizo mengi sugu ya hii nchi yangefikia mwisho.

Nadhani mwandishi anamaanisha kuwa lissu na mbowe wakiondoka CHADEMA ITASAMBARATIKAMlale Unono 😃😃
Mbowe na Lisu wameikuta Chadema 😂😂😂Nadhani mwandishi anamaanisha kuwa lissu na mbowe wakiondoka CHADEMA ITASAMBARATIKA
Mbowe na Lisu wameikuta Chadema 😂😂😂
Waliikuta ikiwa Imara sana Tundu Lisu akitokea NCCR Mageuzi na Freeman Mbowe akitokea CCM 😃😃Hukumalizia:
""Wameikuta ikiwa kwenye Hali gani?
Nadhani mwandishi anamaanisha kuwa lissu na mbowe wakiondoka CHADEMA ITASAMBARATIKA
Waliikuta ikiwa Imara sana Tundu Lisu akitokea NCCR Mageuzi na Freeman Mbowe akitokea CCM 😃😃