Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

Sio kila mabadiliko ni mazuri. Mbowe Lissu daima!
hoja yako ina mashiko lakini ni muhimu zaidi kwenda sambamba na majira tuliyopo na kujifunza kusoma na kuzingati alama za nyakati kwa ustadi mwingi kuepuka fedhaha baadae 🐒
 
Wanaotaka Mbowe na Lissu waondoke ni wale wasioitakia mema Chadema, in fact hawa ni CCM.
 
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.

Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.

Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.

Soma Pia:

Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.

Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.

CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.

Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.

unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho? :pulpTRAVOLTA:

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mstakabali wa Chadema kama wa CCM wa baadaye.
 
Wanaotaka Mbowe na Lissu waondoke ni wale wasioitakia mema Chadema, in fact hawa ni CCM.
kitaalamu hiyo inaitwa kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala, yaani dormant thinking 🐒
 
ukweli unakuumiza gentleman?🤣

hii siasa haitaki mihemko, wataalamu hatubahatishagi kamanda 🐒
Kwa hili wewe na wenzio mmechemka sana. Tengeneza Kwa kwanza CCM kama substitution yenu ni akina Msigwa mnaimba mna Imani nao si mmechoka kwelikwell?
 
mimi nimeona nilichokiandika gentleman 🐒
Kwakweli kama kubaki akina Mbowe na Lisu ndo faida Kwa CCM si muwaache muendelee kupeta? Gap Hilo au vipi? Si muache ili muendelee kutamba? Na akihamia CCM si mtaimba tena tuna Imani na Mbowe iyo iyo iyoooo au?
 
kitaalamu hiyo sio issue, ya muhimu zaidi ni changes zitakazoleta uhai, pumzi mpya, hamasa, nguvu na ari mpya ya chama hicho katika kuchochea uwajibikaji na mageuzi katika utendaji wa serikali tawala 🐒

kama mivutano na migawanyiko ya ndani ya chama hicho ina faida basi nadhani ihamasishwe zaidi ili chama kimeguke zaidi kwa maslahi binafsi ya wanao kimega 🐒
 
Kwa hili wewe na wenzio mmechemka sana. Tengeneza Kwa kwanza CCM kama substitution yenu ni akina Msigwa mnaimba mna Imani nao si mmechoka kwelikwell?
binafsi sijawahi kuchemka na siwez kosea target, kwasabb ni mtaalamu na mbobevu katika siasa na diplomasia....

nafanya tafiti na kujiridhisha kabla sijashauri au kuandika bandiko...

na huwa siandiki uongozi wala kushauri ubwela ubaya, ni facts tu...

ukikubali ama kukataa ni Juu yako, mimi nimeshatekeleza wajibu wangu kwa maendeleo ya demokrasia nchini, hakana haja kunishukuru wala kunikumbuka likitokea la kutokea 🐒
 
Haachii leo Wala kesho. Na hatutaki aachie. Mbinu zenu tulishazigundua toka zamani mtahangaika sana na vijithread vyenu mnajaza tu nafasi.
ilimradi historia ya maafa isijirudie tu nyakati za chaguzi za ndani 🐒
 
Ruzuku inayotolewa kwa Chadema ni hela ya umma serikali ya ccm ndio yenye dhamana ya kusimamia hela hizo . Unamaanisha serikali imemuogopa huyo Mbowe mpaka anatumia hela za chama kwa matumizi binafsi na CAG ambaye ni mteule wa mwenyekiti wa ccm ameshindwa kutoa pendekezo serikalini ya kumchukulia hatua kwa sababu ya ubadhirifu huo!
Wanamtumia jamaa kama kibaraka wao tu, politics is more than a mind game and only fools (mostly - wananchi wasiojitambua) fall for it.
 
mla mlungula wa mabwenyenye ya magharibi, je tunaweza muitaje au kwasabb ni dollar hiyo hainashida 🐒
Mbowe ni msanii tu kama Steve Nyerere (Mżę wa kula ruzuku a.k.a. rambirambi za waśanii wenziwe).
 
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.

Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.

Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.

Soma Pia:

Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.

Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.

CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.

Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.

unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho? :pulpTRAVOLTA:

MUNGU IBARIKI TANZANIA

CCM ingetolewa madarakani matatizo mengi sugu ya hii nchi yangefikia mwisho.
 
kwasababu ya mipango yao madhubuti hilo limeshindikana kutokea kipindi kilichopita na hakuna kabisa dalili wala kitisho cha hilo kuwezekana kutokea kipibdi kihacho, huenda baada ya karne nyingi sana zijazo kupita :pedroP:
 
Nadhani mwandishi anamaanisha kuwa lissu na mbowe wakiondoka CHADEMA ITASAMBARATIKA

Kwamba ni machozi ya mamba mla watu kamwona mtu anakaribia kuvuka mto?

Kwamba hayo mahaba niue ni kutokea CCM?
 
Back
Top Bottom