Salaam!
Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi.
Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla.
Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia itapitia pagumu lakini ni wakati mwepesi zaidi kuliko nyakati zingine zozote zile za nyuma.
Itoshe kusema Tanzania inakwenda kuzaliwa upya ila kwa uchungu mkubwa sana wa wachache wanaonekana na wengi wasionekana. Soon or later.
Kwa wale wa kiroho, tayari Tanzania imeshamwagilia ardhi yake damu ya kutosha kisa siasa. Damu ya nani? Wanaotaka Tanzania Mpya. Sadaka hii ni kubwa sana haina mbadala. Hii sadaka ndio ibebayo mabadiliko ya kweli.
Sikiliza:
Kwa nini?
Nani ananena vizuri? - Kundi la wachache wanaofaidi nchi yenu.
Watawala wamekwama kwenye mtego wa vitu viwili: Nyakati & Kizazi. Hawajui nini cha kufanya isipokuwa kushindana na wakati na kizazi kwa style ile ile ya miaka yote. Hawataweza.
Nini wafanye?
Hiki hapa: Wabadili mindset zao za kisiasa (seems they have fixed mindset about politics). Now, let them move kwenda kwenye flexible mindset kisiasa, hii ndio mindset ya siasa za nyakati hizi na kizazi hiki.
Nitaeleweka na wachache sana.

- Wakuu wa kiroho (makanisa & misikiti) wananena nini kuhusu siasa zenu? - vibaya
- Watu wa ughaibuni (wenye weledi wao) wananena nini kuhusu siasa zenu? - vibaya
- Watu wengi maskini wananena nini kuhusu siasa zenu? - vibaya
- Wasomi wananena kuhusu nini kuhusu siasa zenu? - vibaya