Lissu na wengine wenye majigambo ya ubobezi wa sheria wanajadili mkataba hewa

....kwa vile umeleta mfano huu kwa mfanano wa makubaliano kati ya Tz na kampuni la Dubai, tufanye hivi, barua ya uchumba imepokelewa na ikaazimiwa sasa inakuwa sio barua ya uchumba tena, majadiliano yanakaa kiposaposa na kwa sheria za 'kijamii' hapa pande zote zinafungwa na makubaliano yaliyoazimiwa. Posa hii ndiyo inayojadiliwa sasa maana uchumba umekubaliwa kwa maana ya mutual assent, na anayechumbia keshaleta barua ikaazimiwa (call it expressed valid offer na tumekubali 'acceptance' kama ndugu ---sijaziiona number kwa maana ya DPW watatoa kiasi gani mtoto wetu wamchukue 'capacity', na sisi kama wanafamilia 'bunge tumepima weeee (call it adequate consideration) tukaona huyu mchumba anafaa kuwa kwenye familia yetu. Yuko vizuri

Jirani mnoko na ni mlevi tu tunamjua hatukumshirikisha kwenye tulipopokea barua ila kwenye kujadili kuikubalia barua ya uchumba tukwambia bwanawewe karibu, kaja kilevi na maarifa yake anasema mbona mnataka kuukubali huu uchumba unaosema sio kwamba anamtaka binti yenu tu bali na wadogo zake wa nyumba hii walioko Tanganyika kule kote wanakofanana? Sisi kwa mahaba ya mleta posa aliyevaa kanzu na koti (hivi ni lazima washanga wavvae hivi!!!) tunasema wewe jirani ni mlevi na una nongwa.

Mdau, hapo nilipokoleza, bunge kuazimia maana yake binti ndo keshang'oka na jamaa keshaanza kujilia vya ndani ukirejea kwenye barua yake tuliyoiazimia kaazimia kuwa ataanza kumfaidi mwanetu kimazabemazabe kidogo kidogo kabla hamjamtengenezea sheria.
 
JF ni kubwa, na mabandiko kuhusu Mwarabu wa Dubai ni mengi, hivyo bandiko hili Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! litakuwa limekupita!.
P
 
Basically ‘agreements’ inahusisha makubaliano yoyote.

Makubaliano yamegawanya katika sehemu mbili.

Domestic Arrangements: definition yake ni kubwa na ina mambo mengi (better to get it from google). For most part uwezi kushitaki mtu kwa kuvunja domestic arrangements.

Contract ni legal binding arrangement; ambazo unaweza shitaki.

Kwa sababu makubaliano ya ‘domestic arrangements’ na ‘contract’ yanaweza fanana kwa kiasi kikubwa.

Ukienda mahakamani kama kulikuwa na mkanganyiko hayo makubaliano ni ‘Domestic’ au ‘Contract’ kuna test za kubaini kama hizo arrangements zina sifa ya kuitwa contract.

Kwa hivyo international trade agreements generally speaking ni sawa na domestic arrangements; not fully contracts.
 
Sasa mktaba halisi uko wapi umekuja na kubwabwaja hewa hapa? Hicho ilichokieleza hapo juu kwa akili zako Tundu Lissu hajui? Usijitoa ufahamu kwa kushangilia ubatili
 
Kuna yule pimbi mmoja anaitwa Mwabukusi, anaongea kwa maringo midomo yake kaipinda kumbe ni pumba tupu. Another Kilaza anapewa muda mbele ya macho yetu, nchi ina safari ndege sana hii.
 
Tuwekee Ushahidi maana siasa nyingi sana kwenye hii issue, toka kwenye kauli yako
1. Eka Ushahidi kwamba Mbarawa amesign Legal Binding Contract
2. Tuwekee na huo Mkataba tuone.

Wengine wanapinga hawa wanatetea ila hakuna hata Mmoja anakuja na Ushahidi wowote ni Tantalila tu za kutosha.
 
Sasa mktaba halisi uko wapi umekuja na kubwabwaja hewa hapa? Hicho ilichokieleza hapo juu kwa akili zako Tundu Lissu hajui? Usijitoa ufahamu kwa kushangilia ubatili
Inaeleke Lissu akisema yeye ni baba yako mzazi unakubali na kwenda kubadirisha cheti chako ka kuzaliwa ukiambatanisha na kiapo cha kumkana baba yako mzazi
 
Hahahahah UMEONGEZA SANA CHUMVI. Barua ya uchumba ikikubaliwa uchumba unaanza. Tunaanza kutafuta tabia na uzuri wa mchumba na kule anakotoka. Tukilizika tunaruhusu posa, tunajadili mahari nk. Bunge limepewa nafasi ya kujadili sifa za mchumba kupitia azimio kwa niaba yetu wote. Sisi wengine tuko huku kwenye mitandao. Lakini majadiliano mengine sasa yanajadili ndoa; ndoa bado
 
Reactions: Obe
Mkuu sifa peke yake uliyonayo ni kujiita mwanasheria kisa umesoma sheria. Mie sijasoma sheria ila nimezaliwa hivyo. Sioni tofauti ya ulichosema na ambacho mimi nimeokoteza. Ni kile kile. Alichosaini Mbarawa doest not pass the test of a contact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…