TzPride
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 2,616
- 1,169
Wewe naye mshamba wa kisukuma. ANC walikimbilia Tanzania tukawahifadhi pale Mogogoro hapa juzi leo hata hujui hayo! Hii vita yetu ni ya makaburu meusi, yalivuka mpaka wa magharibi. Haya ya yana roho za nchi za jirani mpaka wa magharibi; kuua wao si shida.
Hii si Tanzania yetu ya kawaida, ni Burundi na Rwanda type. Kuua si shida kabisa!
Acha vijana wa watu wakimbize roho zao, wapambane wakiwa nje.
Hii si Tanzania yetu ya kawaida, ni Burundi na Rwanda type. Kuua si shida kabisa!
Acha vijana wa watu wakimbize roho zao, wapambane wakiwa nje.